acheki vidonda vya tumbo, hiyo hali ilinipata nikiwa nimezidiwa na vidonda vya tumbo japo iliambatana na dalili nyinginezo, yaani ni kama kichomi fulani kinakupelekea kushindwa kupumua vizuri kwa muda fulani mpaka kitakapoachia, na hiyo hali unayosema kukamaa ni namna pekee ya kurespond hayo maumivu maana hauwezi kufanya chochote zaidi ya kukakamaa kwa muda mpaka kichomi kitapoachia,
kama ana dalili zinginezo kama maumivu ya tumbo au tumbo kujaa gesi aende kupima vidonda vya tumbo japo si lazima kuwa na dalili zote maana hutegemea ni sehemu gani imeathirika zaidi