Eti hapa nilikosea nini?

Mapenzi. Adhabu ya wajinga tu
 
Mkuu, kwanza ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke usimsapoti kwa chochote labda awe mkeo. Kilichokupeleka kwa huyo mwanamke ni mahusiano na sio uwekekzaji katika biashara yake. Stick to the agenda
 
Ungechukua na ilo wigi lake linalotoa harufu ya uvundo.
 
Kosa lako ni kutokuwa na akili..
Uligundua ukamsamehe ukaanza kuweka hela tena Kwa mtu unajua kabisa sio muaminifu...
Ukosefu wa akili ndo kosa kubwa zaidi na kuamini Kunguru utaweza kumfuga...
Akili kubwa sana .
 
Daah! We jamaa kwa msimamo wako huu, unapaswa kupewa cheo kwenye KATAA NDOA GROUP, drone na wenzio mfikikirieni kijana japo hata ubalozi wa nyumba kumi......
 
Oyaa kwanza nakupa big up sana kwa ukauzu uliochukua kudai mali zako uyo manzi anaonekana malaya sana yani wateja anawageuza kuwa mabwana zake
 
Ungechukua na mtaji wako kabsa. Mshamba ni yeye sio wewe.
 
Muonyeshe Ushamba wako wazi wazi. Kafunge Na ww Biashara kama yake Jirani kbsa na Alipo yaan Hakikisha Unafanya hata kusudi na Kufuru ilimradi umuonyeshe Ushamba.

Kama uko vizuri Kanunue ugomvi wa Elfu Kumi kwa Milioni
 
Kosa lako ni kutokuwa na akili..
Uligundua ukamsamehe ukaanza kuweka hela tena Kwa mtu unajua kabisa sio muaminifu...
Ukosefu wa akili ndo kosa kubwa zaidi na kuamini Kunguru utaweza kumfuga...
Kwakweli sikio la kufa hasisikii dawa katu
 
Nikaanza kumuongezea mtaji kidogo kidogo Kipimo changu kinaonyesha tatizo lilianzia hapa
 
Toka mwanzo ulishajua ni mtu wa aina gani na bado ukaendelea kuwekeza kwake. Pole yako,wewe ndio una matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…