Eti hapa nilikosea nini?

Wanaume wote wakifanya hovyo si tutashuhudia mengi huko barabarani? Jaribu kumrudishia kama huna matumizi na hivyo vitu ulivyochukua. Heri kutoa kuliko kupokea
 
Wanawake km hao wase*ng* tu na hvyo ndivyo wanavyosemaga msemo wao huo wa siku Hz pale mwanaume utakapoamua kudai Mali zako ulizompatia before mkiwa kwenye relationship, na wanasemaga hvyo ili tu kukudhohofsha psychologically ili usifanye vile unataka Fanya Ila nakushaur simama imara.

Hvyo mkuu Wala hauna ushamba wwote km anavyokutangazia hpo mtaani, cha kufanya wew Fanya km ulivyoamua chukua kila kitu Chako ulichompatia kwenye business yke hyo kisha move on with your life bro, muache apewe support na huyo mwamba wake anaempiga mpini kwa sasa
 
Kosa kubwa ulilolifanya ni kuratarajia chumvi itabadilika na kuwa sukari.
Mwenye asili yake haachi. Mtu akicheat hata akae miaka mingapi akiwa muaminifu ni swala la wakati tu na kutokea kwa mtu sahihi atacheat tena.

Ulipomgundua mara ya kwanza ilitosha kuachana nae kabisa.

Halafu huyo demu hakuwa akikupenda, alikuwa anapenda huduma zako kwake. Mwanamke anaekupenda hasa na akakukosea hata ukimuwekea bunduki ya kichwa bado ataendelea kukuomba msamaha. Sasa huyo kiwepesi tu anakwambia muachane maana anahofia maisha yake.

Kwa kawaida mwanamke hapokonywi zawadi baada ya mahusiano kuisha ila kwa huyo umefanya sahihi kabisa. Muache aongee tu pumbavu zake.

Kama vipi nitumie picha hivyo vitu nimnunulie mchepuko wangu aweke kwenye ofisi yake ya mama ntilie ila nae akizingua nitampokonya tu kama wewe ulivyofanya.
 
Usiwahi kurudi kwa mwanamke aliekusaliti, ningumu kumsahau mtu uliemzoea lakini inatakiwa ujitahidi kujizuia na kujilazimisha ili usimsamehe tena na kurudiana nae.

Pili jiepushe kuwekeza kwa mwanamke ambae ni mpenzi tu hamna ndoa kati yenu, na ukiwekeza bas usimnyang'anye mkiachana , muachie kwasabab ulimpa msaada huo kwa hiyari, vinginevyo ukimnyang'anya jiandae kuingia kwenye fitna kubwa, Mali ni Fitina siku zote.
 
Lakini ulikuwa unapewa mbunye unakojolea. Kwanini usimwachie hivyo vitu kama shukrani kwa kumkojolea miaka mitatu?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Lakini ulikuwa unapewa mbunye unakojolea. Kwanini usimwachie hivyo vitu kama shukrani kwa kumkojolea miaka mitatu?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Pesa na vingine kala sana, na nimeishasema kuwa Hela huwa haionekani kwa macho na ni kama gharama ya service yake kwangu after all itaisha atasahau, ila vile vitu vingine angekuwa akiviona angesema nilimpora fala, hicho ndicho sikutaka
 
Pesa na vingine kala sana, na nimeishasema kuwa Hela huwa haionekani kwa macho na ni kama gharama ya service yake kwangu after all itaisha atasahau, ila vile vitu vingine angekuwa akiviona angesema nilimpora fala, hicho ndicho sikutaka
Jomba una hasira sana. Umemdhalilisha demu na mpenzi wake pia. Maana mpenzi wake was supposed kununua vile ulivyoondoa muda uleule ili pengo lako lisionekane. Kama hakuweza, basi umemdhalilisha.


Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Ulikosea kumchukulia malaya kama mwanamke mwenye staha zake.

Umemkamata mara 2 ila kaa ukijua kuna zaidi ya hao. Huyo ni muuza papa anaetumia grocery yake kama kituo cha kutafuta wateja.

Na wewe aidha kwa upumbavu ama upofu wa mapenzi ukaenda kumboreshea sehemu yake ya kujiuzia.

Huyo sio viti tu, nyang'anya hata chupi kama ulishawahi mnunulia.
 
Umesema vema
 
Kosa lako ni kumuachia na huo mtaji kaka…Siku nyingine usiwekeze kwa mwanamke ambae sio mkeo au usiezaa nae…Kama itatokea unatapenda tena na unataka kuwekeza basi mpeleke ufundi cherehani tu akajifunze kushona…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…