Eti hapa ni wapi?

posta pale eneo la maktaba ya taifa.hiyo double road ni bibi titi road. Mpiga picha alikua kwenye lile ghorofa jipya la Uhuru Heights ghorofa za juu. Bongo vikwangua anga vinazidi kuongezeka!
 
Ukipaona kwenye picha kama hii yaani unaweza ukadhani ni sehemu tofauti sana na mahali penyewe
 
Umenikumbusha paking yangu wakati huo nasoma nikiitumia makitaba ya Taifa naiona hapo kulia safi sana mpiga picha hii sijui ni aina gani ya picha na alikuwa wapi wale wa Geograph nisaidieni
 
Kwa mbali nakaona kale kaghorofa kanakotakiwa kubomolewa....
 
Mwanzo nilifikiri ni Ulaya; kumbe ni Bongo!!.Kweli Bongo imebadilika sana. "Nicely taken photo"
 
Nitashkuru sana mkuu kama utakua mgeni wangu...karibu sana kaka niambie tu lini nikufate airport?
Life historical trip!!
BarakAllah fik(blessings/grateful/gratitude) Mkuu wala usisumbuke, Msafara wangu ni wa kutirirka kuanzia North hadi kuingia baraniArabu, halfu kuCross Red-Sea kuingia baraAfrica na kuteremka hadi EGY,SDN,ETH,KEN nakuingilia TZA horohoro TG na kukufikia Dar "kukugongea honi home hapo ulipo" !! nitakutumia iteneray yote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…