usinijibu hivyo
JF-Expert Member
- Nov 7, 2017
- 248
- 329
😂 😂 😂 😂 😂 😂
Umeshasema ulikwenda kupunguza baridiJuzi nilipita Dar kulikuwa na kamvua kwa muda ,nyumba niliofikia wanakaa vijana wa Kiume kama vyumba vitatu wamepangisha nahisi ni wanafunzi wenza na G alienialika nifikie hapo kwake kumpunguza Baridi.
Nilishangaa sana kuona vijana wa Kiume wale Wa dar Wanalalamika barid kiasi cha kuvaa Masweta.
Nikasema hawa wakija home Mbeya na Kule Rungwe tutakuwa tunawakokea moto wanaota tu...
Vijana wa Kiume Kupenda joto.!!!Ndio maana baadhi ya Wanaume wa Dar mnatutukanisha Wanaume Wengine na Chips Mayai zenu.
We Dar kunabaridi gani hapo ata Mvua Inyeshe hadi Mafuriko??
Acheni Kudeke.Mje shamba kula Dona
Usitujibu hivyo aisee.Juzi nilipita Dar kulikuwa na kamvua kwa muda ,nyumba niliofikia wanakaa vijana wa Kiume kama vyumba vitatu wamepangisha nahisi ni wanafunzi wenza na G alienialika nifikie hapo kwake kumpunguza Baridi.
Nilishangaa sana kuona vijana wa Kiume wale Wa dar Wanalalamika barid kiasi cha kuvaa Masweta.
Nikasema hawa wakija home Mbeya na Kule Rungwe tutakuwa tunawakokea moto wanaota tu...
Vijana wa Kiume Kupenda joto.!!!Ndio maana baadhi ya Wanaume wa Dar mnatutukanisha Wanaume Wengine na Chips Mayai zenu.
We Dar kunabaridi gani hapo ata Mvua Inyeshe hadi Mafuriko??
Acheni Kudeke.Mje shamba kula Dona
Huyo muhudumu alituma salam za kukutakaJana pia nilkua Dsm usiku nikiwa hoteln nilisikia mhudumu akimwambia mwenzake ati kuna baridi wachemshe maji yakuoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo muhudumu alituma salam za kukutaka
Ukiyasikia hayo maneno ya baridi huenda ukatangaza kumpa joto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa wanautan na baridi haoJana pia nilkua Dsm usiku nikiwa hoteln nilisikia mhudumu akimwambia mwenzake ati kuna baridi wachemshe maji yakuoga