Nafuu umemwambia ukweli mrembo wee! Mambo vipi Preta
penda bwana, maisha yenyewe yapo wapi kujinyima raha zilizobakia? ishi ya leo ya kesho muachie muumba, nani ajuea la moyoni mwa mwenzie?
Jishaue apate mwingine.. Utaliaje sasa!
Ufuate moyo wako, kama una mafeelings naye.. Ipe roho yako kitu inapenda bana!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hii picha tuinayo hapa ni wewe haswaaa?
Mie ni mdada wa umri wa miongo 3 hapa duniani! Nina mtoto mmoja na niko single. Nimejikita zaidi katika shughuli za utaftaji wa mapene, na niko vizuri kiuchumi! (lakini siintatein kulea visharobaro) nimekuwa single for around two years...nimewakataa wengi, wenye rangi tafauti...you name it! Nikichelea kuumizwa na kujiona kuwa natumiwa! Mahusiano yangu ya mwisho yamekuwa magumu mabaya siwezi hata eleza, ambapo makovu yake yapo mpaka leo! Nilijaribu kuanzisha uhusiano but it didnt just work out na ndo nikaamua mhh sasa basi!
Sasa mhh kumbe kuna mtu akuwa akinifatilia for almost a year! Halaf ni mtu ambaye ninahisia naye ingawa nlikuwa najitahidi kuzificha wakati ikitokea tupo pamoja! Ilifika wakati naye uzalendo ulimshinda akanipasulia pwaah! Nachelea kusema nampenda sana huyu kaka! Nimemkaribisha moyoni mwangu kaingia -im head over heals in love with this guy! Lakini sijamuonesha, nafwa mwenyewe na mafeelings! Tatizo, naogopa kupenda! Nahisi kama ntakosea kitu nikampoteza tena! Naogopa...hili naogopa...lile! Jamani pamoja na umri wangu naogopa kupenda tena ingawa nataka! Tatizo najijua huwa napenda mno! The guy is simply what i deserve, amepasi vijimtihani nilivomuwekea! Nifanyeje jamani uuwi kupenda kubaya jamani!
:Mie ni mdada wa umri wa miongo 3 hapa duniani! Nina mtoto mmoja na niko single. Nimejikita zaidi katika shughuli za utaftaji wa mapene, na niko vizuri kiuchumi! (lakini siintatein kulea visharobaro) nimekuwa single for around two years...nimewakataa wengi, wenye rangi tafauti...you name it! Nikichelea kuumizwa na kujiona kuwa natumiwa! Mahusiano yangu ya mwisho yamekuwa magumu mabaya siwezi hata eleza, ambapo makovu yake yapo mpaka leo! Nilijaribu kuanzisha uhusiano but it didnt just work out na ndo nikaamua mhh sasa basi!
Sasa mhh kumbe kuna mtu akuwa akinifatilia for almost a year! Halaf ni mtu ambaye ninahisia naye ingawa nlikuwa najitahidi kuzificha wakati ikitokea tupo pamoja! Ilifika wakati naye uzalendo ulimshinda akanipasulia pwaah! Nachelea kusema nampenda sana huyu kaka! Nimemkaribisha moyoni mwangu kaingia -im head over heals in love with this guy! Lakini sijamuonesha, nafwa mwenyewe na mafeelings! Tatizo, naogopa kupenda! Nahisi kama ntakosea kitu nikampoteza tena! Naogopa...hili naogopa...lile! Jamani pamoja na umri wangu naogopa kupenda tena ingawa nataka! Tatizo najijua huwa napenda mno! The guy is simply what i deserve, amepasi vijimtihani nilivomuwekea! Nifanyeje jamani uuwi kupenda kubaya jamani!
Its the heart afraid of breaking that never learns to dance,
Its the dream afraid of waking that never takes the chance,
Its the one who wont be taken who cannot seem to give,
And the soul afraid of dying that never learns to live.
Bette Mildler
I say take the chance live your life cherish the moment no one knows about tomorrow...
wasiwasi wako mama ndio maradhi yako fungua moyo huo, wanaume hawafanan ikila mtu ana yake pekee we jiingize ulingoni halafu usipende hizo negative expectations ni hatari utaishi kinyonge mama jiachie life yanyewe fupi hii
as far as i know mapenzi hayashauriki
utabana utaachia tu!wala sina wasi!sitochoka kusema,mapenzi hayasuswi
CHAI CHUNGU njoo pande hizi,uskie yanayomtatiza mtoto ntiba
2mia fastjet umkimbilie huyo kjana