My basic argument is, we have to be cautious na ndoto! Mimi nimeharibiwa sana na science ingawa sio mwanasayansi mkubwa, but have the basics of science. Nadhani ndoto zinaweza kuwa explained scientifically. Hivyo habari ya roho mtakatifu, pepo inaweza isi-form base ya argument zangu. Uchovu na mawazo ya binadamu inawezekana sana ukaota mambo mengi. Ukamwona msichana mzuri moyo wako ukamwangukia , ukamuota, kesho useme roho mtakatifu!!!