The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
- Thread starter
-
- #41
Kama circle yake ni ya 26 na kama flow yake ni ya siku 5, ina maana siku 6 BAADA ya kubleed ni siku ya 11 ya mzunguko na ovulation yake ni siku ya 13 so mimba is possible. Ila sijui nilimuelewa vibaya yeye anasema ni siku ya 6 tangia aanze period.
uniambie na mimi amekuambia nini?Mmmh unanijua? Ebu ni pm uniambie vizuri
kijana unaenda pekuuuuuuuuuuuuu ni mkeo yule !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!lol shame on you huogopi ngoma weye waogopa mimba lolNaona mnanishambuliiiiiiiia kama nimeua bwana.....me si nimeomba ushauri tu....??
Mentor anavyoishabikia hii issue kama aliyepewa mimba ni dada yake....dah....
Anyway,ushauri wenu wa maana ntaufanyia kazi,ule wa kipuuzi nami ntaupuuzia
Ahsanteni sana...
Naona mnanishambuliiiiiiiia kama nimeua bwana.....me si nimeomba ushauri tu....??
Mentor anavyoishabikia hii issue kama aliyepewa mimba ni dada yake....dah....
Anyway,ushauri wenu wa maana ntaufanyia kazi,ule wa kipuuzi nami ntaupuuzia
Ahsanteni sana...
Du, umetia Mbegu. Sasa ikawaje na wewe Ucheze Pekupeku?
Kweli Mdudu atatumaliza Watanzania na Mchina achukue nchi kirahisiiii...
kijana unaenda pekuuuuuuuuuuuuu ni mkeo yule !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!lol shame on you huogopi ngoma weye waogopa mimba lol
uniambie na mimi amekuambia nini?
Kama circle yake ni ya 26 na kama flow yake ni ya siku 5, ina maana siku 6 BAADA ya kubleed ni siku ya 11 ya mzunguko na ovulation yake ni siku ya 13 so mimba is possible. Ila sijui nilimuelewa vibaya yeye anasema ni siku ya 6 tangia aanze period.
na wewe ulicheza peku?!!!
Ni kweli nilifanya nae mapenzi siku ya 6 tangu kuanza bleeding,leo ananiambia ujauzito wangu,nimemtoa nduki kwanza....nifanye utafiti kwanza kama inawezekana.....
Eti wadau,siku ya 6 inawezekana kweli?? kwa elimu yangu ya baiolojia kwa vidato sita,,,,,sioni uwezekano kwa kweli....nahisi nataka kubambikiwa mzigo hapa...
Kwa wataalamu wanaofahamu zaidi kuhusu huu utaratibu naomba wanisaidie ufahamu...
With Great Thanks
The Magnificient..

Kaka katishika kwelikweli maana hapa najiuliza kama ilikuwa ni a ka "once off" event?? Ni wapenzi?? Ni kawaida yao kutotumia kinga??Hivi mimba inatisha kiasi hiki mpaka mtu atoke nduki
Ni kweli nilifanya nae mapenzi siku ya 6 tangu kuanza bleeding,leo ananiambia ujauzito wangu,nimemtoa nduki kwanza....nifanye utafiti kwanza kama inawezekana.....
Eti wadau,siku ya 6 inawezekana kweli?? kwa elimu yangu ya baiolojia kwa vidato sita,,,,,sioni uwezekano kwa kweli....nahisi nataka kubambikiwa mzigo hapa...
Kwa wataalamu wanaofahamu zaidi kuhusu huu utaratibu naomba wanisaidie ufahamu...
With Great Thanks
The Magnificient..
Kaka katishika kwelikweli maana hapa najiuliza kama ilikuwa ni a ka "once off" event?? Ni wapenzi?? Ni kawaida yao kutotumia kinga??