Mkuu mimba ni yako..jipange tu kwenye ulezi!... Mentor yamewahi kukuta ni nini?...naona cheko lako si haba..
Ila mleta uzi sijapenda ulipojisifia like 'nimemtoa nduki'.....hata kama una doubt kwamba sio yako but that aint fair bwana..kumbuka ulivokuwa unamkatikia bila ndomu...lolz
Ni kweli nilifanya nae mapenzi siku ya 6 tangu kuanza bleeding,leo ananiambia ujauzito wangu,nimemtoa nduki kwanza....nifanye utafiti kwanza kama inawezekana.....
Eti wadau,siku ya 6 inawezekana kweli?? kwa elimu yangu ya baiolojia kwa vidato sita,,,,,sioni uwezekano kwa kweli....nahisi nataka kubambikiwa mzigo hapa...
Kwa wataalamu wanaofahamu zaidi kuhusu huu utaratibu naomba wanisaidie ufahamu...
With Great Thanks
The Magnificient..

Hivi mimba inatisha kiasi hiki mpaka mtu atoke nduki
Hivi mimba inatisha kiasi hiki mpaka mtu atoke nduki
Mimba inatisha, ila ukimwi hautishi.
Inashangaza?
Nahisi nakujua elmagnifico,...
Siku sita baada ya Bleeding huo ni utapeli wa mchana kweupe!Hilo haliwezekani kwa hali ya kawaida atleast baada ya siku 9 mpaka 11 ndiyo danger period inaanza!! Inawezekana anakutega tu aone msimamo wako incase ikitokea amenasa hebu ongea naye vizuri.
Tafakari,chukua hatua ya kula nduki kali sana bila kugeuka nyuma!