Huwa nawaeleza humu Ethiopian Airline huwa subsidized na serikali na pia hawaweki wazi detailed financial reports.Its hard for KQ to compete with an airline that is fully subsidized by the government..
Ah, narekebisha... Tofauti ipo kwa abiria, Et haiingii Kq kwa service ya abiria!Ina depend unauliza kama nani? Unauliza kama mwekezaji, au mwenye anataka kukagua biashara (business model) ama unauliza kama abiria? Manake kama ni mwekezaji basi Et iko mbele, lakini kama ni abiria tofauti hamna, KQ na mashaka yake yote bado ineshinda mara mbili tuzo la most punctual airline, pale Heathrow London... Tena isitoshe KQ kwa miaka mitatu mfululizo imeshinda Business class airline of the year in Africa na pia mara nne mfululizo imeshinda kwa category ya mizigo kama Cargo airline of the year.. Ethiopia nayo inashikilia kwa economy class
Huwa nawaeleza humu Ethiopian Airline huwa subsidized na serikali na pia hawaweki wazi detailed financial reports.
Its like those Middle Eastern Airlines kila kukicha serikali zao zina pump so much money into them zinakua sio biashara huria tena bali projects za kiserikali.
Zikiachwa zijiendeshe kwa biashara ya kweli loss and profit zitazama taratibu.
Juzi tu Muungano wa mashirika ya biashara za anga yaliyalalamikia sana haya mashirika ya ndege ya Mashariki ya Kati.
Its true you cannot compete with someone pumping public money in a business when you are relying on clean pure capitalistic business to break even.
Ethiopian nimesafiri nao sana, niwachafu kweli kweli na madege yao mengi ni nze na kuukuu ndani.
Entertainment ni sufuri, vyakula vibovu ila afueni yao ni huwa bei zao ni rahisi ukilinganisha na KQ.
Nafikiri KQ hutoza nauli ghali kwasababu ya huduma wanazotoa , tena huduma za kimataifa kabisa utafikiri ni shirika la bara Uropa.
Nadhani kwa sababu ya washirika wao KLM.
Tena wana aina nyingi sana ya mvinyo na viburudisho .
Yeah lets not forget that their pilots sometimes fly planes into different countries and defect seeking asylum...Huwa nawaeleza humu Ethiopian Airline huwa subsidized na serikali na pia hawaweki wazi detailed financial reports.
Its like those Middle Eastern Airlines kila kukicha serikali zao zina pump so much money into them zinakua sio biashara huria tena bali projects za kiserikali.
Zikiachwa zijiendeshe kwa biashara ya kweli loss and profit zitazama taratibu.
Juzi tu Muungano wa mashirika ya biashara za anga yaliyalalamikia sana haya mashirika ya ndege ya Mashariki ya Kati.
Its true you cannot compete with someone pumping public money in a business when you are relying on clean pure capitalistic business to break even.
Ethiopian nimesafiri nao sana, niwachafu kweli kweli na madege yao mengi ni nze na kuukuu ndani.
Entertainment ni sufuri, vyakula vibovu ila afueni yao ni huwa bei zao ni rahisi ukilinganisha na KQ.
Nafikiri KQ hutoza nauli ghali kwasababu ya huduma wanazotoa , tena huduma za kimataifa kabisa utafikiri ni shirika la bara Uropa.
Nadhani kwa sababu ya washirika wao KLM.
Tena wana aina nyingi sana ya mvinyo na viburudisho .
Yaani unamqanisha connection kivipi? Mimi nimeconnect Addis Ababa mara nyingi na sijapata matatizo... Labda uelezee zaidi unachomaanishaWahabesh achana nao. Unaweza kukaa Addis Masaa mengi bila connection. Kwenye connection they are worse
Mfano kutoka dar new York ama LondonYaani unamqanisha connection kivipi? Mimi nimeconnect Addis Ababa mara nyingi na sijapata matatizo... Labda uelezee zaidi unachomaanisha
Very true, in a field that they don't appear anywhere they will start giving their stupid opinions and hating.Its very suprising how most tanzanians troll everything thing kenya has and is good at, niliambiwa waswahili wana wivu saii nimekubali,they are like those neighbours who when yoy get blessed they go to the witchdoctors
Tofauti ipo 30 Aircraft of a loss making KQ to 100+ aircraft of a profit making ET airline!hakuna utofauti kubwa sana kati ya hizi airline mbili...ndio, ET inaongoza ila sio sana...pengine useme TZ airlines ndio mtoto sana ...infact nikama mtoto aliyezaliwa dakika chache tu ukilinganisha na magwiji hawa Kq na ET...
Wajuvi wa mambo mliokwea hizo ndege nani zaidi kati ya ET vs KQ katika nyanja zifuatazo;
1. Reliable & Convinient booking system (including payment mode = mobile money, Credit card, CASH/local or foreign currency).
2. Kwenda na muda (wasioendekeza frequent cancellation, delays)
3. Ground Staff
4. Inflight services (First Aid, Entertainment, Meals)
5. Transfer Desk (Hotel in case of long layover)
6. Luggage handling.
Nia ni kuboresha shirika letu la ndege Air Tanzania, si kubeza wenzetu mliotutangulia
Siku hizi umenyamaza buda hadi namiss your posts. Inaonekana umebanwa sana Mkuu hadi umekuwa irrelevant and useless as a spent cartridge.Tofauti ipo 30 Aircraft of a loss making KQ to 100+ aircraft of a profit making ET airline!
Wewe na wewe umekuwa tu kama kondoo, Geza akinyamba unanusa tena kwa hamu na gamu.ET is a best AIR line in Afrika. so compare the like with the like. you a Nigerian Sosoliso AIR line.
One of the best answers......my take, watu wanauliza ki shabiki tu hasa ukichukulia ni kama poor wa tz na wa ke wanashindana in nonsense ways...Ina depend unauliza kama nani? Unauliza kama mwekezaji, au mwenye anataka kukagua biashara (business model) ama unauliza kama abiria? Manake kama ni mwekezaji basi Et iko mbele, lakini kama ni abiria tofauti hamna, KQ na mashaka yake yote bado ineshinda mara mbili tuzo la most punctual airline, pale Heathrow London... Tena isitoshe KQ kwa miaka mitatu mfululizo imeshinda Business class airline of the year in Africa na pia mara nne mfululizo imeshinda kwa category ya mizigo kama Cargo airline of the year.. Ethiopia nayo inashikilia kwa economy class
ET wanapasua anga hata Zama za COVIDTofauti ipo 30 Aircraft of a loss making KQ to 100+ aircraft of a profit making ET airline!