and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,224
- 39,703
Sijakusoma nyabhera!Kq for Uhuru sake
hata kama service mbovu KQ utapanda tu!Nampenda Uhuru. And for regional patriotism ntapanda KQ. Wala sitajiangaisha kuwalinganisha na ET
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
toa vigezo vya u-best wa kqkQ the best
Vogezo amevitoa mtoa madatoa vigezo vya u-best wa kq
Daah, haya mkuu, tuma salamu kwa mtu mmojaKwa kuwa sijapanda kenya ngumu kutoa ushuhuda ila ethiopia hamna kitu izo sifa mbovu almost zote wanazo sema tu waafrika bajet zetu ndio zinaoana hapo.
Hahahahaa hapana kaka nimepanda sn ethiopia na nimeshakutana na mambo ovyo sn bac tu hatumidu emiarate na mfano wa hizo.Daah, haya mkuu, tuma salamu kwa mtu mmoja
hukuona jema , hata wale warembo hukuwaona ndugu?Hahahahaa hapana kaka nimepanda sn ethiopia na nimeshakutana na mambo ovyo sn bac tu hatumidu emiarate na mfano wa hizo.
Wanayo mema mengi sn ikiwemo bei zao ila kwa leo tunajadili maovu yao.hukuona jema , hata wale warembo hukuwaona ndugu?
ni kweli mkuu hata mm waliniboaga nilipokuwa natoka LAGOS nimeingia kwenye ndege nna njaa sana maana Wanaija j2 hawafungui biashara sasa nikawaomba maji daah wakaninyima, nilifadhaika sana. Pili, Airport yao imekaa kimshazari sana mnarundikwa kama banda la kuku.Wanayo mema mengi sn ikiwemo bei zao ila kwa leo tunajadili maovu yao.
Ethiopian wana ndege za maana, sema hapo uwanjani kwao ni kama upo jela vile vurugu tupu
Ethiopian beibiiWana ndege moja imepewa jina la Ngorongoro