Ethiopia yawa nchi ya kwanza duniani kupiga marufuku magari yanayotumia mafuta. Ulaya inafuata 2035

Ethiopia hii hii ambayo kila siku vijana wake wanakufa kama mizoga kwenye makotena wakikimbia ugumu wa maisha au ile ya Haile Sellesie? HAWAWEZI NARUDIA TENA HAWAWEZI
 

Wewe shida yako ni dola au nishati ya umeme kwaajili ya magari,mbona unakua punguani hivi.
 

Wenzetu wana umeme wa uhakika, sisi tunakatiana umeme kwa sababu za kijinga jinga hatuwezi fuata uamuzi kama huu...
 
Ngumu Kumeza Sera Itakuwa Ngumu Sana Kuelezea Maana Magari Ya Umeme Kuingia Africa Bado Sana.

Kama Magari Ya Mafuta Tu Nchi Nyingi Zinaagiza Magari Yaliyopitwa Na Wakati.

Sababu Bado Umaskini Ni Mkubwa.
ninefika Ethiopia , kukwel licha ya kuwa wako vitan ila wale sio waafrika jamii yao imeelimika sana
 
Wanajua Wana umeme mwingi kutoka bwawa lao la gerd


Na sisi tuige mfano bwawa la Nyerere likianza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…