K kakolo JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 406 Reaction score 354 Aug 13, 2018 #1 Nilisafiri na Ethiopia, nilichojua ni kwamba shirika ni 100% linamilikiwa na serikali. Na hizi ndio rekodi zao. Je ATCL wajifunze nini hapo? Na kuhusu cargo angalia attachment ya pili. Bila kusahau wana academy ningeattach lkn nisiwachoshe.
Nilisafiri na Ethiopia, nilichojua ni kwamba shirika ni 100% linamilikiwa na serikali. Na hizi ndio rekodi zao. Je ATCL wajifunze nini hapo? Na kuhusu cargo angalia attachment ya pili. Bila kusahau wana academy ningeattach lkn nisiwachoshe.
Chabrosy JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 2,652 Reaction score 3,192 Aug 14, 2018 #2 Aisee wako vzr