They are not better off than any African nation.Look at their sons; there are always on the run to South Africa to fetch better living just like Tanzanians.Have you ever seen the people of Botswana on the run to South Africa for better living?
You may have a point, but there is always a starting point. Ethiopia by doing what it is doing is taking the first step in reversing what you are saying. After all a journey of a thousand miles begins with a single step.
The fact that you have the exodus of Ethiopians to foreign countries doesn't mean that their country is not doing well. You have millions of chinese who are currently emigrating to Canada, United States, Brazil and even Africa. Is China not doing well?They are not better off than any African nation.Look at their sons; there are always on the run to South Africa to fetch better living just like Tanzanians.Have you ever seen the people of Botswana on the run to South Africa for better living?
..but why are they portrayed as if they have "arrived"??
..hata hapa Tz mara nyingi huwa tunasifiwa lakini maisha kwa walio wengi ni magumu kwelikweli.
The fact that you have the exodus of Ethiopians to foreign countries doesn't mean that their country is not doing well. You have millions of chinese who are currently emigrating to Canada, United States, Brazil and even Africa. Is China not doing well?
ana ugonjwa wa upofu unaoambatana na ukabila unaomfanya kuona kila kitu kiko sawa katika kuiunga mkono serikali ya Mkikuyu mwenzieit so heartfully,mwangi describes so clearly tanzania goes slowly keenly wisely just like his chinese brother at the 70, I am still keep hope no longer tanzania ktk kipindi kisicho kirefu yaweza kuwa ya 5 ktk chumi bora africa,endapo miradi tajwa itatekelezwa kifasaha
ukweli ni kwamba uchumi wa Ethiopia bado upo kwenye agrarian state na bado serikali haijaruhusu watu binafsi kuwekeza kwa hiyo hauwezi ku-support idadi yao karibu 92 milioni! WB na IMF inakisia uchumi kutokuwa tena kama hawataruhusu sekta binafsi na uwekezaji kutoka nje kuingia Ethiopia maana serikali ishafika kikomo katika kuendesha uchumi wake!Hata nikiangalia Rank ya Ethiopia kwa nchi zenye uchumi mzuri Africa huwa naiona pia, lakini mpaka sasa sijapata jibu la kwanini wananchi wa nchi hiyo wanakimbia nchi yao kwa kasi ya kutisha kiasi cha kufia kwenye fuso huko dodoma. Inamaana uchumi wa nchi unafaidisha wachache au nini hasa tatizo?
Kwa wale wanaoropoka maneno bila ya kufikiria, na wale walio na tatizo kuelewa kiingereza, ripoti haikusema kwamba ethiopia imesha kuwa kiongozi barani Africa. Ripoti inasema hivi: Ethiopia ina rasilmali nyingi hasa za kuzalisha umeme (MW63,000) kiasi kwamba wakisha zizalisha zote ita weza kuziuzia nchi kadhaa za kiafrika umeme ikiwemo TanzaniaThey are not better off than any African nation.Look at their sons; there are always on the run to South Africa to fetch better living just like Tanzanians.Have you ever seen the people of Botswana on the run to South Africa for better living?
Jibu hili swali nami nitakujibu. Uchumi wa Tanzania Umekua kwa kasi Kushinda Uchumi wa Kenya. Kwanini basi Uchumi wa Kenya ni mara mbili kwa ukubwa Kushinda Uchumi wa Tanzania?Hata nikiangalia Rank ya Ethiopia kwa nchi zenye uchumi mzuri Africa huwa naiona pia, lakini mpaka sasa sijapata jibu la kwanini wananchi wa nchi hiyo wanakimbia nchi yao kwa kasi ya kutisha kiasi cha kufia kwenye fuso huko dodoma. Inamaana uchumi wa nchi unafaidisha wachache au nini hasa tatizo?
Uchumi wa Kenya si mara mbili ya wa Tanzania! pls stop distortion otherwise i will ask moderators to act on u as JF forum rules are concernedJibu hili swali nami nitakujibu. Uchumi wa Tanzania Umekua kwa kasi Kushinda Uchumi wa Kenya. Kwanini basi Uchumi wa Kenya ni mara mbili kwa ukubwa Kushinda Uchumi wa Tanzania?
Jibu hili swali nami nitakujibu. Uchumi wa Tanzania Umekua kwa kasi Kushinda Uchumi wa Kenya. Kwanini basi Uchumi wa Kenya ni mara mbili kwa ukubwa Kushinda Uchumi wa Tanzania?
Sina jibu mkuu wangu hebu nifumbue macho na mimi! Ni kwanini ipo hivyo?
Wewe inaonekana umeathirika na ukoloni mamboleo unaokufanya uwe na fikra duni.Kwa wale wanaoropoka maneno bila ya kufikiria, na wale walio na tatizo kuelewa kiingereza, ripoti haikusema kwamba ethiopia imesha kuwa kiongozi barani Africa. Ripoti inasema hivi: Ethiopia ina rasilmali nyingi hasa za kuzalisha umeme (MW63,000) kiasi kwamba wakisha zizalisha zote ita weza kuziuzia nchi kadhaa za kiafrika umeme ikiwemo Tanzania