ETHIOPIA: Serikali imezima Internet ili kuzuia uvujaji wa mitihani

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397

Serikali ya Ethiopia ambayo ndio wamiliki wa kampuni kubwa ya mawasiliano ya Etho-Telecom imezima mtandao wa Internet katika maeneo yote ya nchi hiyo. Sababu iliyotolewa ni kuepusha uvujaji wa mitihani kwakuwa wanafunzi wanakaribia kuanza wiki ya mitihani nchini humo.

Aidha Serikali ya taifa hilo mwaka jana ilizima internet kwasababu hiyo ya kuepusha watu kuvujisha mitihani.


======
Screenshot from 2017-05-31 18-22-07.png

Ethiopia's authorities shutdown the internet on Tuesday to avoid people leaking exam papers during national exam week, the Addis Standard newspaper has tweeted:

A year ago access to social media sites was blocked in the country for the same reason, but this time the authorities seem to have gone further as this activist reports:

Screenshot from 2017-05-31 18-22-22.png
There were some reports quoted in Quartz Africa that the internet was coming on sporadically.

But this chart from Google showing access to its services from Ethiopia show how it's dropped off since Tuesday and does not look like it has come back:
Screenshot from 2017-05-31 18-23-44.png
 
Udikteta wa kijinga ndo huu..

Thats very primitive way of life..
 
Duh itakua kweli, jana alfajiri nilikua Boha International Airport, wifi ilikua haifanyi kazi kabisa koteee hata kwenye lounge hamna kitu.
 
Serikali ya Ethiopia imezima mawasiliano yote ya huduma za mtandao wa Intaneti kwenye simu za mkononi kuzuia uvujaji wa mitihani kwenye mitandao.

Mnamo mwaka jana, nchi hiyo iliripotiwa kubana mawasiliano ya mitandao ya kijamii mara baada ya mitihani ya chuo kikuu kuvuja kwenye mitandao.

Afisa habari wa taasisi ya mawasiliano nchini humo ,Mohammed Seid amesema hatua hiyo ya kuifungia mitandao inatokana na sababu ileile ya mwaka jana ili kuzuia wanafunzi wasiibe mitihani.

Hali ya hatari iliyopo nchini Ethiopia tangu mwezi Oktoba mwaka jana imesababisha maamuzi hayo kufanyika.

Huduma ya intaneti kupitia simu za mkononi imekuwa ikifungwa mara kwa mara nchini humo.


Nb: Malaika kasikia kilio chao kashuka .....
 
Back
Top Bottom