Alice Gisa
Senior Member
- Sep 6, 2014
- 172
- 417
Aende tu Frontline...wanaume wanamsubiriKamanda. Abiy Ahmed
View attachment 2021722View attachment 2021723
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
...😂😂😂...wakizidiwa hizi mbio zitamuokoa....Aliyejiita Field Marshall Idd Amin dadaa mwenyewe aliikimbia vita,atakuja kua huyo mkimbia riadha ambae kazi yake Ni kukimbia kimbia tu.Atawakimbia huko front mziki ukiwa mnene 😄😄😄
Bora hajawa kamanda wa kwenye keyboard..............kila la kheri kamandaKamanda. Abiy Ahmed
View attachment 2021722View attachment 2021723
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Bora hajawa kamanda wa kwenye keyboard..............kila la kheri kamanda
Kuna siku nilimuona anahojiwa huko BBC naona ana viwanda piaHuyo mwanariadha angeuchuna na kuwa neutral maana ana investment kubwa za biashara na majengo..endapo waasi watashinda atakimbia nchi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
😄😄 Mwache ajipeleke tu front,wajuba wanamsubiri kwa hamu.Aende tu Frontline...wanaume wanamsubiri
...😂😂😂...wakizidiwa hizi mbio zitamuokoa....
Amekosea sana kuchagua upande.Huyo mwanariadha angeuchuna na kuwa neutral maana ana investment kubwa za biashara na majengo..endapo waasi watashinda atakimbia nchi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
kama hela ameshatengeneza, na ameshazeeka anajua hawezi kukimbia olympic tena, amepiga mahesabu akajua hapa tigray hawana nguvu watashindwa tu, na wakishindwa serikali itaona alienda nao vitani itampa ulaji wa cheo. halafu kama ilivyo Tanzania tu, hao wana michezo wengine wanakuwaga wametoka JKT ya kikwao, ni wajajeshi hivyo wala si kitu cha ajabu.Amekosea sana kuchagua upande.
Mfano serikali ya Abiy ikashindwa, huoni hatma yake itakuwa mbaya sana?kama hela ameshatengeneza, na ameshazeeka anajua hawezi kukimbia olympic tena, amepiga mahesabu akajua hapa tigray hawana nguvu watashindwa tu, na wakishindwa serikali itaona alienda nao vitani itampa ulaji wa cheo. halafu kama ilivyo Tanzania tu, hao wana michezo wengine wanakuwaga wametoka JKT ya kikwao, ni wajajeshi hivyo wala si kitu cha ajabu.
Serikali ya Abiya haiwezi kushindwa, hataathirika kwasababu hata tuseme mfano serikali imeshindwa, kushindwa kwake ni kwamba Tigray itajitenga na kuwa taifa huru na Gabriselasie atabaki kwa abiya mpya iliyopoteza jimbo moja tu, serikali ishinde au ishindwe nafasi yake ipo palepale.Mfano serikali ya Abiy ikashindwa, huoni hatma yake itakuwa mbaya sana?
ndivyo unavyojidanganya sio.Serikali ya Abiya haiwezi kushindwa, hataathirika kwasababu hata tuseme mfano serikali imeshindwa, kushindwa kwake ni kwamba Tigray itajitenga na kuwa taifa huru na Gabriselasie atabaki kwa abiya mpya iliyopoteza jimbo moja tu, serikali ishinde au ishindwe nafasi yake ipo palepale.
sasa unafikiri waasi wa Tigray wanahitaji nini? shida yao sio kutawala Ethiopia yote, wanataka tu kujitenga jimbo/mkoa wao uwe nchi kama elitrea ambayo lilikuwa jimbo/mkoa ndani ya ethiopia ilivyojitenga na ikawa nchi, lakni mikoa mingine bado ikabaki ethiopia hadi leo. unaijua ethiopia vizuri lakini?ndivyo unavyojidanganya sio.
Kama wangekuwa wanataka kujitenga wasingesonga mbele kuelekea mjini mkuu wa Addis Ababa huenda wangeishia kwenye mipaka ya Jimbo lao tu.sasa unafikiri waasi wa Tigray wanahitaji nini? shida yao sio kutawala Ethiopia yote, wanataka tu kujitenga jimbo/mkoa wao uwe nchi kama elitrea ambayo lilikuwa jimbo/mkoa ndani ya ethiopia ilivyojitenga na ikawa nchi, lakni mikoa mingine bado ikabaki ethiopia hadi leo. unaijua ethiopia vizuri lakini?
...Aliyejiita Field Marshall Idd Amin dadaa mwenyewe aliikimbia vita,atakuja kua huyo mkimbia riadha ambae kazi yake Ni kukimbia kimbia tu.Atawakimbia huko front mziki ukiwa mnene