R ridculouz JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 910 Reaction score 504 Mar 13, 2014 Thread starter #121 jMali said: hayo matumizi mazuri ya ethiopia ndio yanayosababisha watu wake mamia kuhama nchi kila mwezi? tunayo matatizo yetu ndio, lakini hatujafikia hatua ya mamia ya watanzania kuhama nchi kinyemela kwenye malori. Click to expand... Kumbuka wao wapo wengi sana zaidi ya millioni 80 na hawajasoma
jMali said: hayo matumizi mazuri ya ethiopia ndio yanayosababisha watu wake mamia kuhama nchi kila mwezi? tunayo matatizo yetu ndio, lakini hatujafikia hatua ya mamia ya watanzania kuhama nchi kinyemela kwenye malori. Click to expand... Kumbuka wao wapo wengi sana zaidi ya millioni 80 na hawajasoma
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Mar 13, 2014 #122 ridculouz said: Click to expand... Hatuwakamati hao kwa hii miaka ya karibuni
stata mzuka JF-Expert Member Joined Nov 25, 2012 Posts 4,834 Reaction score 1,765 Mar 13, 2014 #123 Mi mabinti wao tu ndo wananimaliza,,,natamani kwenda kuchukua mmoja nilete bongo niweke ndani hasa kule Shashame
Mi mabinti wao tu ndo wananimaliza,,,natamani kwenda kuchukua mmoja nilete bongo niweke ndani hasa kule Shashame
badiebey JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 5,875 Reaction score 3,119 Mar 14, 2014 #124 ridculouz said: Mi naona mjini hakufai maana ni kuchafu saana,mitalo inavuja maji machafu bola pembezoni mwa mji hewa safi fujoo hamna Click to expand... inategemea na sehemu,sio kote kuchafu mkuu
ridculouz said: Mi naona mjini hakufai maana ni kuchafu saana,mitalo inavuja maji machafu bola pembezoni mwa mji hewa safi fujoo hamna Click to expand... inategemea na sehemu,sio kote kuchafu mkuu
ffn Senior Member Joined Jan 11, 2014 Posts 131 Reaction score 30 Mar 14, 2014 #125 Unajifanya mzalendo wakati picha yako tu bendera ya Kenya, sina uhakika na nia yako ya kupost maendeleo ya watu
Unajifanya mzalendo wakati picha yako tu bendera ya Kenya, sina uhakika na nia yako ya kupost maendeleo ya watu
AL SHARPTON JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2,797 Reaction score 954 Mar 14, 2014 #126 ridculouz said: Kumbuka wao wapo wengi sana zaidi ya millioni 80 na hawajasoma Click to expand... Tanzania mmesoma?
ridculouz said: Kumbuka wao wapo wengi sana zaidi ya millioni 80 na hawajasoma Click to expand... Tanzania mmesoma?
R ridculouz JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 910 Reaction score 504 Mar 14, 2014 Thread starter #127 AL SHARPTON said: Wachache wamesoma Click to expand...
R ridculouz JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 910 Reaction score 504 Mar 14, 2014 Thread starter #128 badiebey said: inategemea na sehemu,sio kote kuchafu mkuu Click to expand... Sehemu safi ni maeneo ya Masaki tuu
badiebey said: inategemea na sehemu,sio kote kuchafu mkuu Click to expand... Sehemu safi ni maeneo ya Masaki tuu
O obwato JF-Expert Member Joined Sep 7, 2012 Posts 1,188 Reaction score 365 Mar 14, 2014 #129 Hawa jamaa hawakutawaliwa na wakoloni lkn wamejitahidi kuujenga mji wao.
tansoma JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 1,212 Reaction score 584 Mar 23, 2014 #130 Yote mazuri ila wanaanchi washida balaa Dhiki yao ni kubwa