Zipo community kibao tu online, search for the best one.
Miaka ya 2012 tulikuwa na community nzuri tu hata kwa beginner ilikuwa inaitwa hackcommunity.com lakini badae bulldog aliyekuwa admin baada ya 1llusion akaiuza kwa oni, bila kujua jamaa anataka aimerge kwenye sinisterly.
Community Ilikuwa na watu wengi tena the best one with Eger to help others, I missed ma boy, psycho_coder, chmod, Coder_San n.k
Community zingine kuishi kama beginner n kazi kidogo kwhyo try to act ili ujifunze vingi, mana pro wengi hawapendi spoon feeders.
Kwa sasa community bora ni EvilZone.org
Ukiweza kusignup you'll enjoy.