functional
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 738
- 795
- Thread starter
-
- #61
kichapo natoa cha mbwa mwizi, usihofu na uwezo wanguTatizo uwa siyo kibamia tatizo haupigi kazi akalidhika kaka jitaidi ata kama una kaa kibamia ukimpata mtwange hawe anakukumbuka
mpaka sasa hakuna alieshtukia hii issue ila nimeona2 niulize ili kujiongezea confidenceUngekuwa unatoa kichapo awezi akakwambia una kibamia nakushauli usije tumia dawa kwa kuongeza maumbili
pamoja mkuuKama ndo ivyo we ukikutana na kitonga toa dozi mkuu dozi uwa inaficha mambo yote na inakuletea eshima
Mh!! Ya kweli haya best, [emoji849]Jirani ujue hata siijui hiyo kitu. 🙂
ingependeza kama ungekaona live ili utoe tathmin yako,
picha zinadanganya mkuu
Ndio Best 🙈🙈🙈Mh!! Ya kweli haya best, [emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hujui tu mazoezi huongeza usmati kitu kinachopelekea tuzidi kujiamini na kutaka tena na tena,Jirani mie sikusemea kwamba yanakuza hiyo kitu bana ila nilisema yanasaidia kusahau kuuchosha mwili na hamu ya kuhitaji hiyo ile kitu [emoji12][emoji12]
Japokuwa Samboko alinipinga. [emoji3][emoji3][emoji3]
Uuh!! Utakua under 18 wewe...., [emoji16][emoji16]Ndio Best [emoji85][emoji85][emoji85]
Kwani ni kweli eti? [emoji23][emoji23]
hebu naombeni experience zenu wadau et kama una uume inch 5 bado mdogo? kwa maana bado sielewi,
Mimi nlijua ukifanya mazoez unapata nguvu za kiume. Kuwa na nguvu za kiume si pamoja na kuwa na naniliu kubwa??Jirani mie sikusemea kwamba yanakuza hiyo kitu bana ila nilisema yanasaidia kusahau kuuchosha mwili na hamu ya kuhitaji hiyo ile kitu [emoji12][emoji12]
Japokuwa Samboko alinipinga. [emoji3][emoji3][emoji3]
Mazoez ya aina gani Hajar ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hujui tu mazoezi huongeza usmati kitu kinachopelekea tuzidi kujiamini na kutaka tena na tena,
Hahahaaaa, wewe men mwenzangu jibu unalo kati yetu nani yupo sahihi,Mazoez ya aina gani Hajar ??
Sasa mkuu kati yako na hajar nan yupo sahihi?? Hajar anasema mazoez yanapunguza hamu wewe unasema yanasaidia kutaka tena na tena.
Nmempa hajar reseach title afanye