Ni vi peremende kabisa. Vimevaa vi pensi vifupi na vinaendesha vi baiskeli vyenye tu tairi twenye mzunguko kama wa mfuniko wa kopo dogo la rangi la lita nne!
Hivi vijamaa vinanikera sana tupaja tupo wazi wazi! Takataka!