Esther Wassira ni mara mia ya SS

President Elect

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
693
Reaction score
212
Kwa aibu ya mwaka kwenye uchaguzi wa ccm juzi, nampa EW 100% dhidi ya SS 1%.
 
ulimaanisha edward lowassa kwenye kichwa cha habari sio? tatizo la kuanzisha topic wakati mmeshapiga viroba
 
Hueleweki hata.halafu hizi kampuni za siasa zinakuwa hazina uwanja mpana wa wa viongozi kiasi akitokea mtu akazungumza vizuri mara 1 wanamuamini na kutaka kumrundikia vyeo
 
Safari hii watanzania tulio wengi tumechoshwa na maneno matamu yasiyoendana na vitendo, vile vile tuko makini sana na hawa watoto wa vigogo kuingia kwenye siasa kwa fujo kiasi hiki.
Hawa watoto wa vigogo yaelekea wana ajenda ya siri ya kuwalinda watangulizi wao ambao ni wazazi wao watakapokuwa nje ya madaraka. watoto wakichukua madaraka wataweza kuweka pingamizi na kuwalinda wazazi wao kushtakiwa kwa ubathirifu wa mali za umma na kwa mawazo yangu mfumo huu uangaliwe vizuri hata ikibidi ujengewe msingi mzuri ndani ya marekebisho ya katiba.
 

ni dhihaka kumcopare kamanda esther na ss kwani bint anamwacha huyo bibi mbali sana.ss kaulizwa swali badala ya kujibu anatoa kejeli na mipasho.angekuwa esther angejibu swali lile kwa weledi wa hali ya juu.
 
ss no madubwashika gani tena? fungukeni kieleweke ss nddo sofia simba, samwel sitta, salum simbeye au ndo madubwana gani?
 
kwake yeye el ndiye bwana wa nguvu ( ss )
 
Mh Sofia Simba amechaguliwa tena kusimamia maslahi ya akina mama wa CCM na kuwaongoza wanawake kukipigia kura chama chake 2015. Esther Wasira pamoja na uchanga wake ameonyesha ana uwezo mkubwa wa kisiasa na inaonekana Chadema itamtumia sana katika kuhamasisha akina mama hasa wasichana kuunga mkono Chadema. Swali ni je, kwa maoni yako, nani anaweza kuwa na ushawishi mkubwa zaidi na impact kubwa kisiasa kati ya hawa wawili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…