Wewe tu ndiyo una haki kutoa shombo zako hapa kwa sababu tu ni mtetezi wa chama chakavu? Lugha uliyotumia kuhusu Mwalimu ni sahihi? jifunze kuheshimu watu wengine nawe utaheshimiwa, wewe ndiyo moja ya watu wanaofanya JF ionekane jukwaa la kihuni, hebu pitia post zako zoooote na ujitafakari.