Ester Bullaya ameadhimisha Siku ya Wanawake duniani akiwa na wananchi wa jimboni kwake

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
KATIKA KUAZIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Mbunge Wa Jimbo LA Bunda mjini Mh Ester Bullaya ameazimisha sikukuu hiyo akiwa na wananchi Wa jimboni kwake. Aidha Mh Ester ametoa zawadi na Tuzo mbalimbali kwa wanawake ambao wamekuwa mfano Wa kuigwa katika kujikwamua na uchumi ili kuwapa motisha wengine jimboni humo,
IMG-20170308-WA0066.jpg
IMG-20170308-WA0065.jpg
IMG-20170308-WA0063.jpg
IMG-20170308-WA0061.jpg

IMG-20170308-WA0062.jpg
 
Hongera mbunge wa watu,Wassira akiona anaelewa kuwa Mungu alipanga jema kwa wana Bunda
 
Angekuwa wasira kipindi kama hichi angekuwa Dar ofisi za CCM akipanga majungu........wana Bunda hapo mumepata Mbunge.......Wassira acute tu kesi mahakamani.
 
Wana Bunda hongereni sana, mnaonekana mna akili za utambuzi siyo kama wale viboboru wa chama kile kila shughuli wanavaa sare za chama.
 
KATIKA KUAZIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Mbunge Wa Jimbo LA Bunda mjini Mh Ester Bullaya ameazimisha sikukuu hiyo akiwa na wananchi Wa jimboni kwake. Aidha Mh Ester ametoa zawadi na Tuzo mbalimbali kwa wanawake ambao wamekuwa mfano Wa kuigwa katika kujikwamua na uchumi ili kuwapa motisha wengine jimboni humo,
View attachment 478106 View attachment 478107 View attachment 478108 View attachment 478109
View attachment 478113
Dah... Ameazimisha?
Cc: Faiza Foxy
 
Namkubali huwa ni mbunifu na anajaribu kurudisha hata kidogo ya kile anachopata kwa wana Bunda. Huo ndio moyo wa shukrani.
 
Back
Top Bottom