kagamba kadogo
Senior Member
- Apr 24, 2011
- 178
- 19
- Thread starter
-
- #21
Huu ni upuuzi! Ameonekana Samunge so what? Au nini cha ajabu? Mbona yeye so wakwanza! This is house of great thinkers! Kama huna cha kupost nenda kamsaidie mkeo kuosha vyombo!
Naamini kasema maharufu na si maarufu. Inabidi umwelewe alichomaanisha.
Mkuu sahihisha hapo inaleta maana mbaya.Yule mbunge maharufu bulaya ameonekana mitaa ya samunge
Duu ma harufu ndo nini? ana harufu au!? au labda unamaanisha MAARUFU.
Yule mbunge maharufu bulaya ameonekana mitaa ya samunge
Yule mbunge maharufu bulaya ameonekana mitaa ya samunge
who the hell is she? kwa kweli mimi sijawahi kumsikia ni mbunge wa bunge la chuo gani?