FortJeasus
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 604
- 405
Mbunge wa viti maalum Ester Bulaya (CCM) nae amekanusha kumpigia debe Zitto kwenye Urais.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, ameandika;
"Nasikitika sana kuambiwa kuwa nimempigia debe urais mh Zitto Kabwe. Huu ni uwongo wa kutubwa tulienda Kigoma kuwaunga mkono wasanii wa Kigoma walioamuwa kwenda kuchangisha fedha za ujenzi wa kituo cha vijana. Nilienda kama mbunge wa vijana kwa ajili ya kuunga mkono vijana wenzangu. Huu ni uzushi mkubwa. Natambua kila chama kina utaratibu wa kupata mgombea urahisi"
Nawasilisha
Watakoma bhana ot i knw nasubiria 2 hiyo video ili tujue ukweli.
No!
Yawezekana hatujui lugha za kigeni! sawa!Hata lugha zetu zitushinde!Yawezekana jawabu ni typing errors!Iweje sasa yamejitokeza makosa mengi hivi tena katika sentensi chache alizoandika!!Ni wazi Ndugu Mbunge angeamua kuandika kurasa sita angeishia kutufedhehesha sana sisi wadadisi wa mambo!!
Inaudhi kuona makosa ya wazi kama haya yanafanywa na Ndugu Mbunge wa Viti Maalumu ,anayewakilisha Vijana wa CCM!!!
Kama mtu anaonekana hajali kuhariri anayoandika, atawezaje kuchuja anayozungumza na wananchi unaowaongoza?
Kielelezo cha kukosa umakini!
Mkurya wa watu hajui kiswahili jamani! Kha!
Mwambie naye aache USHAMBENGA kwa nini alifuatana na Halima Mdee? Yeye Zitto kamwita Halima yeye kaenda kwa niaba ya nani asifukunyue mengine ngoja tuusubiri mkanda
No!
Yawezekana hatujui lugha za kigeni! sawa!Hata lugha zetu zitushinde!Yawezekana jawabu ni typing errors!Iweje sasa yamejitokeza makosa mengi hivi tena katika sentensi chache alizoandika!!Ni wazi Ndugu Mbunge angeamua kuandika kurasa sita angeishia kutufedhehesha sana sisi wadadisi wa mambo!!
Inaudhi kuona makosa ya wazi kama haya yanafanywa na Ndugu Mbunge wa Viti Maalumu ,anayewakilisha Vijana wa CCM!!!
Kama mtu anaonekana hajali kuhariri anayoandika, atawezaje kuchuja anayozungumza na wananchi unaowaongoza?
Kielelezo cha kukosa umakini!
Unashanga!! tena huyo kajitahidi kweli, siku hizi Kiswahili kimekuwa kigumu kuliko kifaransa! nafikiri tatizo la ufasaha katika kuandika LUGHA YA KISWAHILI ni kubwa kuliko tunavyo dhani.kama hata viongozi tatizo hili wanalo basi kuna haja ya kulifanyia utafiti.Binafsi huwa naandika makosa ya kisarufu humu JF ni mengi kweli.
No!
Yawezekana hatujui lugha za kigeni! sawa!Hata lugha zetu zitushinde!Yawezekana jawabu ni typing errors!Iweje sasa yamejitokeza makosa mengi hivi tena katika sentensi chache alizoandika!!Ni wazi Ndugu Mbunge angeamua kuandika kurasa sita angeishia kutufedhehesha sana sisi wadadisi wa mambo!!
Inaudhi kuona makosa ya wazi kama haya yanafanywa na Ndugu Mbunge wa Viti Maalumu ,anayewakilisha Vijana wa CCM!!!
Kama mtu anaonekana hajali kuhariri anayoandika, atawezaje kuchuja anayozungumza na wananchi unaowaongoza?
Kielelezo cha kukosa umakini!
Kakosea wapi mkuu kwenye hio highlight yako?Kukosea ni kawaida, we mbona hapo umekosea?
Kakosea wapi mkuu kwenye hio highlight yako?
kwani hajaolewa huyu?
Hizi habari zimeshachosha
Hivi hakuna habari zingine Tanzania?
Ester ,Halima ,sijui Nassari oops