Jana katika taarifa ya michezo Channel TEN tulimuona mheshimiwa Ester Bulaya katika Bulaya Cup kavalia jezi nyeusi yenye strips za njano iliyotengenezwa na kampuni ya Addidas. Swali langu hiyo 'away' jezi ni ya timu gani maana alioneshwa nusunusu na kwa nini hakuonesha uzalendo (yeye ni mbunge) kwa kuvaa jezi ya timu ya taifa letu?