GE2025 Ester Bulaya ateuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini

GE2025 Ester Bulaya ateuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa kimemteua Ester Bulaya kuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya chama hicho katika Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara.

Soma Pia: Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini

Hayo yamesemwa na Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla, akizungumza na wanahabari usiku wa Jumamosi Agosti 23, 2025 katika Makao Makuu ya CCM Dodoma.
 
Huyu ni kama huko CDM alikuwa "kazini" na ile kumganda Mdee ni ili apate taarifa genuine maana Halima alikuwa ndani ya inner cycle..najaribu tu kuwaza kwa sauti

Angalizo, next time CDM muwe makini na hawa watu toka chama hiki cha KIJANI
 
Back
Top Bottom