Kazuri Kadada
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 536
- 435
wewe dada muongo. kuna issues nyingi sana umeruka kwenye hilo andiko lakoEspionage kama taaluma kuna mambo chungu zima.
--- kukamata majaususi wa adui wanao operate ndani ya nchi na Ku intercept mipango yao.
--- kuna kufuatilia mienendo ya viongozi wa serikali wa ngazi za juu pamoja na watumishi wa idara husika ya ujasusi kama wanaenenda na viapo vyao ( oath of office )
--- kulinda miundo mbinu muhimu kwa nchi kama petroleum pamoja na food reserves dhidi ya mashambulizi ya adui.
--- majasusi wa kijeshi (military intelligence) wao wanafanya tathmini ya hatari ya uvamizi wa kijeshi kutoka nchi yoyote ya jirani pamoja na ku verify military readiness ya jeshi kwenye kujibu mashambulizi ya ghafla ya adui.
--- intelligence inawezesha kupatikana kwa taarifa zitazowezesha policy makers kuunda sera za mahusiano ya nchi za nje pamoja na namna nzima ya kuendesha serikali.
Ujasusi ni somo moja refu sana wadogo zangu.
wewe dada muongo. kuna issues nyingi sana umeruka kwenye hilo andiko lako
kuna kitu wengi tumepotea hapa ila ukikaa ukatafakari ndio utaelewa.
Kuna maeneo ukiingia huruhusiwi kutoka na chochote na hata huruhusiwi kuingia na chochote kwa mazingira kama hayo
baadhi ya njia hapo juu zinatumika ili kuweza kutoa taarifa kutoka kwenye taasisi hiyo kwenda nje ya taasisi.
pili kuna wakati mtoa taarifa ndani ya taasisi yupo huru kupata na kutoka na taarifa lakini yupo under cosntant surveillance anaenda wapi anakutana na nani, kwa malengo gani etc, baadhi ya njia hapo zinatumika ili mtoa taarifa kufikisha kwa mpokea taarifa.
kuna mazingira mengine ni usafirishaji kutoka sehemu moja hadi ingine etc
Sio CIA tu nchi nyingi wanazo hata za africa ila zinakuwa kwa siri na zinatumika kutokana na uzito wa shighuli inayofanyika ,na eneo husika kama kuna taarifa za kujitosheleza kama kuna usalamIle Mi CIA ya marekani ile miwani yao myeusi wanayovaa ina kila kila kitu inarecord na inarusha video Pentagon muda huohuo.
Ndugu altoa kama angalizo tu na hakusema uzi huu punguza mihemko elewa kwanzaTiss haijatajwa hapa, acha kuleta uchochezi, rejea kichwa cha habari.
...mkuu vipi hii ya kuangalia kamba ya nguo ya zilizoanikwa ,hapo utajua km nyumba ina watoto kwa kutazama aina ya nguo,au mwanamke au mwanaume,aina ya mavazi ni kweli hii nayo ipo ?Nilisoma kitabu fulani nikagundua hiyo kitu ni ya kweli,kichaa ni vigumun kumshitukia ,na pia sijui kama unajua jalala la nyumba fulani au taka zimebeba taarifa za nyumba husika.Kwa mfano kama jalala lenu lina vipisi vya sigara(wanaoisi wanavuta sigara),chupa za pombe za kopo, ni walevi na ainaya pombe wanayotumia itajulikana),jalala linaelezea uwezo wa kifedha wa familia husika.
Ni muhimu kwa spy kuwa mbunifu,kwani ukitumia hizi njia ambazo wote mnafundishwa kukamatwa ni rahisi.Ni kama Ninja hacking,technique inatumia mara moja tu.
...mkuu vipi hii ya kuangalia kamba ya nguo ya zilizoanikwa ,hapo utajua km nyumba ina watoto kwa kutazama aina ya nguo,au mwanamke au mwanaume,aina ya mavazi ni kweli hii nayo ipo ?
Mkuu mbona hili liko wazi,ladba kama nguo zote si za pale mtu huyo anafanya kazi ya udobi.Kuna information ambazo ziko wazi kwa kila mtu ila only trained people watajua hapa tunapata information fulani wakati kwa mwingine yeye hata hana habari na nguo zako au uchafu ulioko kwenye jalala lako....mkuu vipi hii ya kuangalia kamba ya nguo ya zilizoanikwa ,hapo utajua km nyumba ina watoto kwa kutazama aina ya nguo,au mwanamke au mwanaume,aina ya mavazi ni kweli hii nayo ipo ?
Siku hizi wanatumia drons ku-access mobile communications,
Drons hizi zinapopaa angani zinatengeneza minara ya simu feki, na kukusanya taarifa za watumia wa simu za mikononi waliopo ardhini, mfano mzuri katika mikutano ya vyama Vya siasa pale jangwani.
Kifaa hiki kinatengenezwa USA, na bei yake ni USD 145,000.
girl,naona upo addicted sana na hizi mambo za espionage & intelligenceEspionage kama taaluma kuna mambo chungu zima.
--- kukamata majaususi wa adui wanao operate ndani ya nchi na Ku intercept mipango yao.
--- kuna kufuatilia mienendo ya viongozi wa serikali wa ngazi za juu pamoja na watumishi wa idara husika ya ujasusi kama wanaenenda na viapo vyao ( oath of office )
--- kulinda miundo mbinu muhimu kwa nchi kama petroleum pamoja na food reserves dhidi ya mashambulizi ya adui.
--- majasusi wa kijeshi (military intelligence) wao wanafanya tathmini ya hatari ya uvamizi wa kijeshi kutoka nchi yoyote ya jirani pamoja na ku verify military readiness ya jeshi kwenye kujibu mashambulizi ya ghafla ya adui.
--- intelligence inawezesha kupatikana kwa taarifa zitazowezesha policy makers kuunda sera za mahusiano ya nchi za nje pamoja na namna nzima ya kuendesha serikali.
Ujasusi ni somo moja refu sana wadogo zangu.
Yesgirl,naona upo addicted sana na hizi mambo za espionage & intelligence
Sio TanzaniaEspionage kama taaluma kuna mambo chungu zima.
--- kukamata majaususi wa adui wanao operate ndani ya nchi na Ku intercept mipango yao.
--- kuna kufuatilia mienendo ya viongozi wa serikali wa ngazi za juu pamoja na watumishi wa idara husika ya ujasusi kama wanaenenda na viapo vyao ( oath of office )
--- kulinda miundo mbinu muhimu kwa nchi kama petroleum pamoja na food reserves dhidi ya mashambulizi ya adui.
--- majasusi wa kijeshi (military intelligence) wao wanafanya tathmini ya hatari ya uvamizi wa kijeshi kutoka nchi yoyote ya jirani pamoja na ku verify military readiness ya jeshi kwenye kujibu mashambulizi ya ghafla ya adui.
--- intelligence inawezesha kupatikana kwa taarifa zitazowezesha policy makers kuunda sera za mahusiano ya nchi za nje pamoja na namna nzima ya kuendesha serikali.
Ujasusi ni somo moja refu sana wadogo zangu.
Umejuaje ni dadawewe dada muongo. kuna issues nyingi sana umeruka kwenye hilo andiko lako
How to collect infor...mkuu vipi hii ya kuangalia kamba ya nguo ya zilizoanikwa ,hapo utajua km nyumba ina watoto kwa kutazama aina ya nguo,au mwanamke au mwanaume,aina ya mavazi ni kweli hii nayo ipo ?