DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Yanga mlikataa dili la Zamalek lenye kiwango kile kile kama cha dili la Qatar. Mtu wa Hersi amempigia simu Jasmine akamwambia anataka 10% ya mshahara katika mkataba atakaoingia Mzize kwenye dili la Qatar.Hilo dili likitiki, Jasmine atalia 😭 mpaka sauti ikauke. Maana alishajipakulia minyama yake ya kutosha kwenye dili lake la Al Masry! 😀
Jasmine anaenda kuzingua tena kwenye maslahi ya mchezaji kama alivofanya Al Sadd FC ya Qatar
Sio kweli fekir kwenda liverpool . Wakala aliaribu deal mwishoni kabisa kudai extra fee liverpool waka mpiga chini . Huyu mama atakosa madili mengi sana kisa yanga . Swala la mda tu .Yanga mlikataa dili la Zamalek lenye kiwango kile kile kama cha dili la Qatar. Mtu wa Hersi amempigia simu Jasmine akamwambia anataka 10% ya mshahara katika mkataba atakaoingia Mzize kwenye dili la Qatar.
Mchezaji ukiona timu yako inampiga vita mwakilishi wako ujue una mwakilishi mzuri.
Ndivyo ilivyo kwa wachezaji wakubwa, gyokores,sesko,isak etcHuyo mchezaji mpaka aje kuuzwa tutasikia habari nyingi tofauti aisee bado Madrid tu sijasikia tetesi kutoka kwao..
SOURCE
TRUST ME BROO.
Dauda nae si agent auJasmine anauza wachezaji kibao huku wahuni wapo busy ku bet tu..
Wachezaji wanapenda watu ambao biashara inapofanyika anapata maslahi mazuri na pia kama unavyoona huyo dada anampigania Mzize auzwe nae apate maji..Dauda nae si agent au
accuracy ni nini?fafanua.
Accuracy... usahihi wa kufunga..accuracy ni nini?fafanua.
mikimbio kiaje mkuu?Kuna mchezaji asie na mikimbio?
mshamba yule.si angekuwa mfungaji bora sasa?
Siyo kipaombele chakemshamba yule.si angekuwa mfungaji bora sasa?
Hana kiwango cha kupiga penalties...sasa mzinze anakiwango gani kumzidi ahuwa
Akiuzwa rasmi ndio ukweli.
basi yeye na zuchu hawana tofauti.akacheze mdakoHana kiwango cha kupiga penalties...
kipaumbele chake ni nini?
Kufunga kwenye mechi muhimukipaumbele chake ni nini?