Tetesi: Espérance de Tunis kutoa 2.4 billion Kwa mzize

Jasmine anaenda kuzingua tena kwenye maslahi ya mchezaji kama alivofanya Al Sadd FC ya Qatar
 
Yanga hawawezi kumuuza. Ni ngumu sana kwa mchezaji kuuzwa na Yanga. Toka enzi za akina Ngasa na Tegete, hadi simu walikatazwa kupokea.
Nilisema si rahisi kumuuza hawa jamaa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…