Kama vip huyo jasmine aanzishe timu yake ...Wapi Jasmineee
Sio tetesi ni ukweli kabisaHuyo mchezaji mpaka aje kuuzwa tutasikia habari nyingi tofauti aisee bado Madrid tu sijasikia tetesi kutoka kwao..
Jasmine deportivo El de kolo wizardJasmine mtu kati!
Kuna mmoja hapo mkono hauonekani sijui umeshika wapiWengine wanajigeuza kuwa Kambale.......View attachment 3437587
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hahahaha 🤣Huyo mchezaji mpaka aje kuuzwa tutasikia habari nyingi tofauti aisee bado Madrid tu sijasikia tetesi kutoka kwao..
Mdada mjanja sana yule, kutoka kuwa dalali WA wanamuziki WA ki Kongo Hadi Udalali WA wachezajiJasmine anauza wachezaji kibao huku wahuni wapo busy ku bet tu..
Nimemnyooshea mikono aiseeMdada mjanja sana yule, kutoka kuwa dalali WA wanamuziki WA ki Kongo Hadi Udalali WA wachezaji
Hahahaha,anacheza sana na FursaNimemnyooshea mikono aisee