IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Aug 15, 2014 #1 Ipo pesa cash, 3m kwa yeyote mwenye hiyo Escudo milango 5, ilimradi iwe inatembea na ina vibali husika Je unayo? haraka tuma picha kwa Whasapp 0754734009
Ipo pesa cash, 3m kwa yeyote mwenye hiyo Escudo milango 5, ilimradi iwe inatembea na ina vibali husika Je unayo? haraka tuma picha kwa Whasapp 0754734009
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,575 Aug 15, 2014 #2 Ongeza hiyo mulla kifanyike kitu!!!!
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Aug 15, 2014 Thread starter #3 OLESAIDIMU said: Ongeza hiyo mulla kifanyike kitu!!!! Click to expand... Mi nabahatisha tu sina zaidi ya hii pesa. Nitumie picha
OLESAIDIMU said: Ongeza hiyo mulla kifanyike kitu!!!! Click to expand... Mi nabahatisha tu sina zaidi ya hii pesa. Nitumie picha
tanganyikakwanza JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 493 Reaction score 188 Aug 15, 2014 #4 iko suzuki samurai jx kama upo tayari jibu.
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,575 Aug 15, 2014 #5 IPILIMO said: Mi nabahatisha tu sina zaidi ya hii pesa. Nitumie picha Click to expand... Ok mkuu, well maintained m.v can not be that cheap!!!! All best
IPILIMO said: Mi nabahatisha tu sina zaidi ya hii pesa. Nitumie picha Click to expand... Ok mkuu, well maintained m.v can not be that cheap!!!! All best
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Aug 15, 2014 Thread starter #6 tanganyikakwanza said: iko suzuki samurai jx kama upo tayari jibu. Click to expand... Nitumie picha ya hiyo samurai
tanganyikakwanza said: iko suzuki samurai jx kama upo tayari jibu. Click to expand... Nitumie picha ya hiyo samurai
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,338 Reaction score 111,573 Aug 15, 2014 #7 Huwezi kupata Escudo nzuri kwa bei hiyo mkuu... Labda 5mil hivi utapata.
msumeno JF-Expert Member Joined Aug 3, 2009 Posts 2,826 Reaction score 1,739 Aug 15, 2014 #8 du escudo mi 3 au ya picha?
tanganyikakwanza JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 493 Reaction score 188 Aug 15, 2014 #9 IPILIMO said: Nitumie picha ya hiyo samurai Click to expand... picha sinayo hapa kiongozi kwani nipo field na gari ipo nyumbani,nitachukua namba yako hapo ili nikutafute nikirudi.upo mkoa gani?
IPILIMO said: Nitumie picha ya hiyo samurai Click to expand... picha sinayo hapa kiongozi kwani nipo field na gari ipo nyumbani,nitachukua namba yako hapo ili nikutafute nikirudi.upo mkoa gani?
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,210 Reaction score 13,048 Aug 15, 2014 #10 OLESAIDIMU said: Ongeza hiyo mulla kifanyike kitu!!!! Click to expand... Braza unayo Escudo? Inakwenda kwa ngapi nikucheki? Ikiwa ni zile za Diesel itakuwa Bomba zaidi.
OLESAIDIMU said: Ongeza hiyo mulla kifanyike kitu!!!! Click to expand... Braza unayo Escudo? Inakwenda kwa ngapi nikucheki? Ikiwa ni zile za Diesel itakuwa Bomba zaidi.