kennyville
Senior Member
- Jan 12, 2009
- 132
- 38
Asante kwa taarifa, kwani natafuta Escudo kwa ajili ya wadogo zangu huko home bongoland. Naomba kujua Escudo hii ni ya milango mingapi? Hata hivyo, hi gari ya mwaka 1993 kuwa imetembea Km 58,000 tu kumenistua kidogo, waweza toa ufafanuzi? Au fundi kafanya retouch kwenye meter ya km?
2009 - 1993 = 16yrs
58,000 / 16yrs = 3625km kwa mwaka
hiyo gari ilikuwa ime park mda mwingi nini
embu tuweleze vizuri
2009 - 1993 = 16yrs
58,000 / 16yrs = 3625km kwa mwaka
hiyo gari ilikuwa ime park mda mwingi nini
embu tuweleze vizuri
2009 - 1993 = 16yrs
58,000 / 16yrs = 3625km kwa mwaka
hiyo gari ilikuwa ime park mda mwingi nini
embu tuweleze vizuri
3625 km kwa mwaka = 9.9 km per day (round trip from Mwenge-UDSM-Mwenge kila siku). Maana yake hii gari ilikuwa haitumiki kwenda out, arusi, misiba nk). Nachoka ile mbaya!! Tutumia basi picha ya nje na ndani tuichungulie (forensic diagnosis) kwa umakini.
Wizi huu....
2009 - 1993 = 16yrs
58,000 / 16yrs = 3625km kwa mwaka
3625/12 months= 302km kwa mwezi
302/30 days= 10km kwa siku.
conclusin: coincidence kwamba wamiliki wote X katika series ya owners kuanzia gari iwe mpya wameweza kumaintain avarage ya km. 10 kwa siku is practically impossible.
ESCUDO ya 1993, colour Grey, auto, with air condition, 58 thousands KM,4WD - Price 5.6M if your Interested pls contact 0713227455
Sababu ya kuiuza next month nitakuwa Mauritius for almost two years kwahiyo its better to sell it
nakuona mzee wa ku-unmaskMkuu , tuko interested lkn imformation ulizotoa nyingine sio za muhimu does not count on our buzzy km;safari yako ya mauritius sio sababu tosha ya kuiuza, tupe data zote. Na PICHA NI MUHIMU SANA