East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Hilo liko wazi. Ni mpango wa Reginald Mengi kumsulubu adui wakeKashfa hewa ya Escrow ilibuniwa kwa lengo la kubwa la kwanza kumng`oa waziri Muhongo na la pili ilikuwa kuiangusha serikali.
Naomba nichukue nafasi binafsi kuwashukuru washika mikoba ya utawala wazee wa Dar es salaam, washika nchi waliomeza nembo ya taifa na washika kifimbo cha mwalimu Nyerere kwa kuhakikisha nchi inabaki salama .
Shukrani sana na asanteni kwa kazi nzuri
Zimechotwa toka wapi?Kwa hiyo pesa hazikuchotwa
Ni kweli ilibuniwa. JK ameeleza bayana kila kituNdo matatizo ya akili kuwa sehemu ya kutolea haja kubwa!
Eti Escrow ilibuniwa. Nyambafu!
Mkuu, ni kwa sababu kaandika mambo ambayo hayakufurahishiHivi Watu Kama huyu mleta mada..when will they ever start growing up waandike senses? Kila ukisoma band iko lake..you clearly see something missing..
ngoja huyu asituharibie maandilizi ya mapumziko....
Unachekesha sana wewe, kwa sababu amesema ukweli?Hivi Watu Kama huyu mleta mada..when will they ever start growing up waandike senses? Kila ukisoma band iko lake..you clearly see something missing..
ngoja huyu asituharibie maandilizi ya mapumziko....
Ni kweli ilibuniwa. JK ameeleza bayana kila kitu
Siku ikitokea mungu akamchukua mengi nchi hii itapumzika alikuwa ametenga fungu kubwa kuhakikisha muhongo anaondoka na kuivuruga serikali jambo la kushukuru huko serikalini pia kunawatu wenye akili kwahiyo wamecheza nalo vema mengi alaaniwe.Kashfa hewa ya Escrow ilibuniwa kwa lengo la kubwa la kwanza kumng`oa waziri Muhongo na la pili ilikuwa kuiangusha serikali.
Naomba nichukue nafasi binafsi kuwashukuru washika mikoba ya utawala wazee wa Dar es salaam, washika nchi waliomeza nembo ya taifa na washika kifimbo cha mwalimu Nyerere kwa kuhakikisha nchi inabaki salama .
Shukrani sana na asanteni kwa kazi nzuri
Kama akili yako ndogo unaweza kuona kama amekosea lakini ukiwa na akili zenye kuona mbali utaona ukweli wake juu ya alichoandika.Hivi Watu Kama huyu mleta mada..when will they ever start growing up waandike senses? Kila ukisoma band iko lake..you clearly see something missing..
ngoja huyu asituharibie maandilizi ya mapumziko....
hivi huyu naye ni binadamu kabisaa? kwamba naye ana kichwa, ubongo, macho na viungo vingne kama walivyo binadamu wengine au huyu atakuwa species mpya ya binadamu?
Nadhani utakuwa unamlenga mengi siyo?hivi huyu naye ni binadamu kabisaa? kwamba naye ana kichwa, ubongo, macho na viungo vingne kama walivyo binadamu wengine au huyu atakuwa species mpya ya binadamu?
Kashfa hewa ya Escrow ilibuniwa kwa lengo la kubwa la kwanza kumng`oa waziri Muhongo na la pili ilikuwa kuiangusha serikali.