Error: unknown filesystem

Error: unknown filesystem

storyteller

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
1,544
Reaction score
1,874
Msaada tafadhali, nina dell precision t7500, nimeweka hdd 2 za 500gb, na ssd yenye windows, inaniletea error hiyo hapo kwenye picha.
Tafadhal kwa yeyote mwenye suluhisho anisaidie.
1474137565907.jpg
 
Msaada tafadhali, nina dell precision t7500, nimeweka hdd 2 za 500gb, na ssd yenye windows, inaniletea error hiyo hapo kwenye picha.
Tafadhal kwa yeyote mwenye suluhisho anisaidie.View attachment 402151
Umefanya fresh installation ya window au umechukua ssd yenye OS tayari kutoka mashine nyingine ukaja kuipachika humo?
 
Umefanya fresh installation ya window au umechukua ssd yenye OS tayari kutoka mashine nyingine ukaja kuipachika humo?
Kuna mtu aliniwekea windows, baada ya hii comment yako nimeona niweke upya windowas, possibly ssd ilikua na os ingine, thanx
 
Back
Top Bottom