donlucchese JF-Expert Member Mar 23, 2011 17,071 21,541 Nov 18, 2011 #1 swalama wakuu? tatizo langu ni moja,my hp 630 laptop which z stil new imeanza kuzingua kaya. nikitaka kukopy file kutoka location moja kwenda nyngne inaniletea hiyo error message hapo juu. je hii inamaanisha nini na how can i solve it? Ijumaa Karim!
swalama wakuu? tatizo langu ni moja,my hp 630 laptop which z stil new imeanza kuzingua kaya. nikitaka kukopy file kutoka location moja kwenda nyngne inaniletea hiyo error message hapo juu. je hii inamaanisha nini na how can i solve it? Ijumaa Karim!