hebu nisaidieni wadau
Hii PC yangu nilijaribu kuinstall GTA 4 vice city game lakini baada ya Kuinstall hili game nilipojaribu kulifungua linagoma inakuja Meseji ya "not enough video memory"
sasa kwa wataalamu wa hizi issue hapa nifanyeje?
right click kwenye icon ya hilo game afu nenda kwenye properties... Then compability mode...from there chagua windows xp au 7 afu pigia tiki kwenye resolution. Apply afu ok. Fungua hilo game.