Habari zenu wakuu poleni kwa kazi ya kusaidia members wenye matatizo tofauti-tofauti. Na mimi nimepata tatizo leo.
Baada ya kufanya ubundi na Wajanja Night Offer usiku wa leo, modem ilihang-up ghafla nikajua ka-1G changu kameisha basi nikaangalia nikakuta bado nina Bundle basi nikaconnect tena lakini nikapata Error message hii "Connection to the remote server was not established because the modem was not found". Sasa nikajiuliza maswali mengi sana, modem yangu imepata Sudden Death? Ninatumia Huawei E173 Unlocked. Na hili tatizo ni geni kabisa.
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU.
cc: njunwa wamavokochief-mkwawawickerman
The problem is A Connection to
the Remote Server was not
made because the modem was not found in ur pc
.
Make sure ur modem driver was installed correctly...
.
Unstall the dashbord of you modem and reinstall it again ..... Test it
.
Au plug and unplug ur modem an test it kama its work collectly njia rahis pia
.
Finally ukishindwa bas update your modem driver....
.
Mkuu September 5 & wickerman nimefanya yote haya lakini ime-fail. Nadhani ku-update dashboard & drivers itasaidia, nitatoa feedback baada ya kumaliza, shukrani kwa idea zenu.