Njoo ofisin kinondoni studio kesho saa nne. 0655003510screen inakakaahivi wakati wa kurestore nimejaribu njia nying kana dfu,jailbreak et.. msaada jamaniView attachment 133754
mkuu niko Mwanza kwa sasa, help pls
Umefanikiwa kuRestore?screen inakakaahivi wakati wa kurestore nimejaribu njia nying kana dfu,jailbreak et.. msaada jamaniView attachment 133754
bado comrade
Download IOS 6.1.3 ya iPhone 3GS hapa ( Download Firmware (IPSW) Files for iOS Devices ) alafu update itunes kwenye computer yako baada ya hapo chomeka simu kwenye computer, press and hold shift button alafu click Restore..chagua file ulilodownload then ok to restore,,

Kama unatumia iPhone 3g usiRestore kwa iTunes. Download Redsn0w 0.9.15b3 ufanye Restore, nenda 'Extras-Even More-Restore,, Download na Application inaitwa 'iFaith' ili upate blobs za ios 6.1.3 za simu yako then ziambatanishe kwenye redsn0w wakati ukiRestore. Hii ndio njia rahisi!!wakati ikinstall firmware inafail na ikileta text hiiView attachment 133957
vipi umefanikiwasawa ngoja nijaribu