Hata mimi nilifanya novembr mwishoni hadi Leo kimya sijapata simu yoyote kutoka erolink
jaman waliofanya interview tarehe 8 january 2014 naomba tupeana information kwa kitakachofuata kwa upande wa vodacom customer care
vp wadau mliofanya oral interview novnmba mwishoni erolink zinazohusu customer care voda hamjapigiwa kuanza training