Mwelekeo ndio huo!!Makampuni mengi sana makubwa yana outsource operation zao nyingi hasa za customer care call centers na hata Maitanance,angalia NBC,Vodacom,Tigo,Airtel wote wanafuata sera hiyo!ukiangalia makampouni wanawabana hao waajiri wapunguze sana bei wakati wa tendering,ili wapate kazi,watakaoumia ni waajiriwa,maana mishahara itakuwa chini sana,hakuna bima ya afya wala nini,mshahara kavu kavu!huko ndiko tuendako.....