Wapo aisee , customer care karibia zote , zipo under hizi recruitment agency.
Na mm nipo under Erolink, anakula kila mwezi , kazi unafanya wewe yeye kila mwezi anakata kwenye mshahara, kitu ambacho yeye hajafanyia hata kazi . bora hata wakate ule mshahara wa mwanzo ila sio kila mwezi.
Viongozi naomba muangalie hili swala tunaumia