Ero Link Recruitment Agency - Scandal

Ero Link Recruitment Agency - Scandal

hawa jamaa vibaka mbaya, nina mwaka wa tatu sasa nawadai hela zangu za nssf. wanalipa mishahara kwa michango ya nssf
 
Hao jamaa ni hatari sana,michango ya wanachama NSSF/PPF hawapeleki. Kuna watu wamefanya kazi miaka miwili anakuta ana Tsh 1M.

Naweza pata kazi apo hatakama sjamaliza chuo npo mwaka wa 2 jmn npate ata kitu cha kufany maish magumu
 
Hawa Erolink wachunguzwe jaman
Is it fair kila mshahara yeye anakata tuu percent yake , bora wangekata ule mshahara wa mwanzo, sasa unakatwa Erolink ambayo yeye hata fanyi kazi ukatwe na kodi , Serikalini naomba muangalie hili swala
 
Erolink ni jipu la mda mrefu mno nashaanga kipindi cha magu hawakupata misuko suko
 
Hawa Erolink wachunguzwe jaman
Is it fair kila mshahara yeye anakata tuu percent yake , bora wangekata ule mshahara wa mwanzo, sasa unakatwa Erolink ambayo yeye hata fanyi kazi ukatwe na kodi , Serikalini naomba muangalie hili swala
hiv wapo hawa.nakumbuka 2012 nilirecruitiwa hapo customer care voda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiv wapo hawa.nakumbuka 2012 nilirecruitiwa hapo customer care voda

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo aisee , customer care karibia zote , zipo under hizi recruitment agency.
Na mm nipo under Erolink, anakula kila mwezi , kazi unafanya wewe yeye kila mwezi anakata kwenye mshahara, kitu ambacho yeye hajafanyia hata kazi . bora hata wakate ule mshahara wa mwanzo ila sio kila mwezi.
Viongozi naomba muangalie hili swala tunaumia
 
Duuh hawa Jamaa Erolink bado wapo, kwa sasa wanahudumia kampuni zipi mana Mara ya mwisho nilisikia walikuwa na Vodacom.
 
NAOMBA MAWASILIANO NA HII KAMPUNI YA EROLINK PLEASEE AU ANAEFANYA KAZI HAPO ANIJUUZE PLEASEEE NA VILI MISHAHARA YAO IPOJE ???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom