Mzee Huyu jamaa anamtaka Chocs tangu zamani kisa nimezaa na mkewe The secretary
Achana nae Chocs maji marefu hawezi kugelea Bishanga
Hahahahaa Mzee mie huwa nakula tu vya watu na siliwi vyangu aiseeErickb52. Kama kweli ulizaa na mkewe, umekiri umemla The secretary. Namshauri mzee mwenzangu Bishanga afanye awezalo naye amle Chocs
chake changu,changu chake!The secretary. Umeitikia salaam ni ya kwako????
Usinichonganishe na Mzee wangu aisee
Baki na majungu yako mie siyatakiiiii
Hahahahaaa kaka siku hizi digitali aisee yan mambo kama unanawa vileeeeMdogo wangu 52 is't true?
Umekuja kiunabii? Are you new Kibwetere?
utakufa na kijiba cha roho,mi na The secretary until des do as apat.Siku ukivuliwa mawanimbao hizi comments zote utadiliti !
utatwendea kwa kalumanzila?The secretary. Wewe na Bishanga subirieni tu dawa yenu ipo jikoni.
The secretary nakupa dakika tano uwe umekanusha haya maneno na kutoa onyo kali kwa huyu bazazi Erickb52.......naanza kuhesabu moja,mbili,tatu......