Erick Shigongo ni bora ungekaa kimya tu

Ngoja nikusaidie lengo moja kuu la chama chochote cha upinzani duniani ni kushika dola so kuwa na mawazo mbadala sio kosa ndo maana wakaitwa wapinzani...hata kama kitu kikiwa sawa machoni pako ye akikipinga ni sawa ndo maana wakaitwa wapinzani..
 
Ana Co.ya kubet.

Majarida(Magazeti) yenye picha za ngono/story ya kwake.

Ukumbi wa dar live(uwanja wa fisi umehamia huko siku hizi) ni wake pia.

Na bado huyu bwana anajiita mlokole huku akikemea na mapepo kabisaa yaani full usanii tu.
huyo Jamaa ni muhuni ile mbaya "" wasiomjua ndio wtakuwa wababaikaji na huo udanganyifu wake
 
Usimwonee shigongo mkuu hata Mange kinambi anaeinfluence maandano ya 4/26 alikuwa anampigia debe Magu.... Kifupi mambo yamebadirika hata Mimi Mwishoni mwa2015- Mwanzoni Mwaka 2016 ulikuwa uniambii kitu kuhusu Mr President ..... Sasa Naipenda Tanzania tuu.
 
Nimeipenda hii sentensi "win to win situation" ilinipa moyo kwenye issue fulani, ila sasa inanikera matunda yake sijayaona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…