Equity bank

Wewe hukutakiwa kuwa member wa JF akili zako ni za kitoto rudi tu FACEBOOK akili yako ikibarehe ndio uje uku.

Kwa hiyo wewe unafikiri una akili kuliko watu walioko FACEBOOK? Do you know the COST OF INVESTING? I am sure you know nothing ndiyo maana unawaza mishahara mikubwa bila kujiuliza utazalisha nini!! Ndiyo maana kwa akili yako ambayo ni immature unafikiri watu walioko FACEBOOK unawazidi akili. Niliwashauri muuanzishe bank yenu ili kama kweli una uwezo wa kulipwa mshahara mkubwa uwe CEO au CFO and whatever ujilipe mshahara kadri uwezavyo. La sivyo uwe mpole wenye investment zao wakulipe according to what you contribute to the firm!!
 

Nimekukamata povu linakutoka huna busara umeruhusu akili yako ndogo iwe juu ya akili yako kubwa kwa maelezo yako hayo marefu umejionesha una haiba ya namna gani kuwa wewe umeshiba mafanikio ya wazazi wako pia umekulia kwenye jamii ya majigambo na zaidi huna busara hivi ili suala la wafanyakazi duniani kudai mishahara mizuri solution yake ni kufungua na wenyewe ofisi kama wanazozitumikia au uelewa wako ni mdogo kiasi cha kukurupuka kwa kiwango cha mtoto wa primary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…