Equity bank tanzania limited

Kumekucha. Hii ni benki ya watu.Banking charges zao ndogo,masharti ya kupewa mikopo ni nafuu. Kenya wanao agents hadi vijijini na pia wameoanisha sytem yao na safaricom M pesa. Habari njema.

Mie nakwambia ikija TZ Bank zingine zitakoma kuringa yaani system yao bomba sana
 
Equity Bank ndio ilio revolutionise banking in Kenya, its more of a people bank compared to other corporate banks which only target higher clientelle, hii ni benki ya kila mtu especially wafanya biashara. Its a great thing its coming to Tanzania, najua tutafaidika.
 
mishahara yao inakwenda vipi? hii bank ninawatu wangu wamepata kazi hapo yaani hakuna kabisa mambo ya kujuana ni haki bin haki katika uajiri
 
Nitafurahi sana kama watazibwaga kifo cha mende hizi benki zetu ambazo customer service ni below Zero, ukienda dirishani kwa vinuka mkojo ni kero tupu na attitudes zisiziokuwa na maana. CRDB, NMB, EXIM, Stanbic na wengineo kaeni chonjo na mtakoma kuringa
 
mhmhmh kweli wakenya wana nguvu,hawajaja tumeshanza kuwapa promo ya kufa mtu..

so long wanazingatia qualifications katika kutoa ajira no need to panic kwani ujio wao utaleta changamoto katioka ajira na huduma watazotoa!equity bank wamefanya na wanafanya vizuri sana kenya na ni matumaini yangu they will do the same here!inshu kama ya m pesa inayochukua kasi leo bongo wenzetu wakenya walianza kuitumia na kupata mafanikio makubwa kabla hatujaanza kuitumia!napenda sana changamoto kama hizi....
 
so long wanazingatia qualifications katika kutoa ajira no need to panic kwani ujio wao utaleta changamoto katioka ajira na huduma watazotoa!equity bank wamefanya na wanafanya vizuri sana kenya na ni matumaini yangu they will do the same here!inshu kama ya m pesa inayochukua kasi leo bongo wenzetu wakenya walianza kuitumia na kupata mafanikio makubwa kabla hatujaanza kuitumia!napenda sana changamoto kama hizi....
<br />
<br />

sawa ndugu OLIMO ONYANGO OBARE MWIRI..mmesikika
 
ila waache tabia yao ya kukataa US dollar eti hata ikiwa imejikunja kidogo wanasema hawaitaki...kwahiyo wanataka tuwe tunazitoa amerika??
 
Equity Bank one of the most successful banks in Africa,currently operating in Rwanda,Uganda,South Sudan with its headquarters in Nairobi,Kenya is soon expected to expand its services in Tanzania,mainly:Dar,Mwanza and Arusha.
We are looking to recruit on the following position: Branch Growth and Development managers(BGDM) as well as Credit Managers,if you are qualified and ready to be part of the team that is mainly focused on TRANSFORMING THE LIVES AND LIVELIHOODS OF THE PEOPLE OF TANZANIA,then kindly forward your CV to this e-mail address:jacquelineminja@equitybank.co.ke.

jamani! kuna wakati mlitangaza nafasi za ajira tena, Vipi mshaita mnaowataka?
 
Hii benki kwani imeshaanza Tanzania mbona sijaisikia?[/QUOTE

I was waiting for this bank for so long, nashangaa post ya august naiona leo!!! I really like 2 work in a challenging envt; hebu mwenye info and contacts za hawa jamaa atumwagie hapa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom