Equity bank tanzania limited

uyu JACQ MINJA!DUH NIMEPGA NAE CLASS MOJA UYU!DUH LAKIN MI BADO NAUZA NYAGO YE ANAAJILI?KWELI DUNIA INA UPENDELEO
Hapo unapotakiwa kukaa kimya na kuendelea kupambana na wewe ukae sawa!
 
kutuma inakubali lkn no reply mtujuze wadau kama ndo hivyo watu wameshaitwa maana naona ukarabati umekamilika
 
2tatuma ushahidi 2 bt hw wa2 wanatangazaga ilihali wana wa2 wao tayari
 
EQUITY BANK imeanza kuoperate Arusha, wapo jengo la Nyari....karibu na Friends Conner
 
Jamani hawa watu wa EQUITY BANK ni wakombozi wa wanyonge, Kenya wamefanya kazi kubwa kwa kuwakomboa wajasiliamali tunawakalibisha TZ hasa ARUSHA!!!!!!!!
sorry i could be happy ,if i could have the right email because i try alot to send my application but fail,they say unrecognise email.help me please ASAP
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…