Kumekucha. Hii ni benki ya watu.Banking charges zao ndogo,masharti ya kupewa mikopo ni nafuu. Kenya wanao agents hadi vijijini na pia wameoanisha sytem yao na safaricom M pesa. Habari njema.
mhmhmh kweli wakenya wana nguvu,hawajaja tumeshanza kuwapa promo ya kufa mtu..
<br />so long wanazingatia qualifications katika kutoa ajira no need to panic kwani ujio wao utaleta changamoto katioka ajira na huduma watazotoa!equity bank wamefanya na wanafanya vizuri sana kenya na ni matumaini yangu they will do the same here!inshu kama ya m pesa inayochukua kasi leo bongo wenzetu wakenya walianza kuitumia na kupata mafanikio makubwa kabla hatujaanza kuitumia!napenda sana changamoto kama hizi....
mbona wengine inaenda? ukituma andika .co.ke usiweke . mwisho wa ke
Equity Bank one of the most successful banks in Africa,currently operating in Rwanda,Uganda,South Sudan with its headquarters in Nairobi,Kenya is soon expected to expand its services in Tanzania,mainly😀ar,Mwanza and Arusha.
We are looking to recruit on the following position: Branch Growth and Development managers(BGDM) as well as Credit Managers,if you are qualified and ready to be part of the team that is mainly focused on TRANSFORMING THE LIVES AND LIVELIHOODS OF THE PEOPLE OF TANZANIA,then kindly forward your CV to this e-mail address:jacquelineminja@equitybank.co.ke.
Hii benki kwani imeshaanza Tanzania mbona sijaisikia?[/QUOTE
I was waiting for this bank for so long, nashangaa post ya august naiona leo!!! I really like 2 work in a challenging envt; hebu mwenye info and contacts za hawa jamaa atumwagie hapa!
Hii benki kwani imeshaanza Tanzania mbona sijaisikia?[/QUOTE
I was waiting for this bank for so long, nashangaa post ya august naiona leo!!! I really like 2 work in a challenging envt; hebu mwenye info and contacts za hawa jamaa atumwagie hapa!
Tuma maombi yako kwenye hiyo e-mail juu hapo
nimekuwa 1 kati ya email zilizokataa kwenda.