Epuka Pombe na Sigara

Epuka Pombe na Sigara

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
462
Reaction score
540
1. POMBE
Madhara 👉maradhi ya moyo
👉 Saratani(Cancer)
👉 Afya ya akili
👉 Inapunguza kuaminika
👉 Upungufu wa nguvu za. kiume
👉 Hatari kwa mama mja mzito na afya ya mtoto tumboni
👉 Hupelekea ajali
👉uhalifu na ukatili

2. Sigara🚬🚭
Madhara: 😡saratani(Cancer)
😠 Maradhi ya moyo
😭 Madhara Kwa mama mja mzito na afya ya mtoto tumboni
Nk
 
Eti kwamba
1000007526.jpg
 
1,POMBE
Madhara 👉maradhi ya moyo
👉 Saratani(Cancer)
👉 Afya ya akili
👉 Inapunguza kuaminika
👉 Upungufu wa nguvu za. kiume
👉 Hatari kwa mama mja mzito na afya ya mtoto tumboni
👉 Hupelekea ajali
👉uhalifu na ukatili
2. Sigara🚬🚭
Madhara: 😡saratani(Cancer)
😠 Maradhi ya moyo
😭 Madhara Kwa mama mja mzito na afya ya mtoto tumboni
Nk
Punguza umbea basi dah.
 
Kuna jamaa alikua analewa vibaya, na kurudi home usiku mkubwa.
Na akilala anakoroma
Akianza kukoroma, mshikaji jiran anasukuma mlango na kuingia ndani.
Yeye na mke wa jamaa wanafanya matusi kwenye kochi mpaka raundi tatu.
wakimaliza jamaa anatoka, mke anafunga mlango anarudi chumbani kulala kimyaa.
 
Hao nao wakajiona wana akili kumpita mlevi aliye kwenye starehe zake ?

Umeicheki movie ya Norbit ? Eddie murphy ?

mdau mke wangu kaichape tu no problem .
 
Kuna jamaa alikua analewa vibaya, na kurudi home usiku mkubwa.
Na akilala anakoroma
Akianza kukoroma, mshikaji jiran anasukuma mlango na kuingia ndani.
Yeye na mke wa jamaa wanafanya matusi kwenye kochi mpaka raundi tatu.
wakimaliza jamaa anatoka, mke anafunga mlango anarudi chumbani kulala kimyaa.
Daah, dunia inanuka uovu hii mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom